Mauaji haya yanayoendelea ni ishara ya laana kubwa,Ni kweli Serikali haiusiki?.yupi wa kujiuzulu

Abuha

JF-Expert Member
Feb 5, 2017
304
116
Hawa ni wapinzani wa serikali ya CCM,ambao wakati ule walikuwa watiifu,wakiwa na mapenzi na imani na serikali na nchi yao,je wakikusanyika hivi,na wakadai haki za kibinaadamu zinazovunjwa zikome,itakuwaje ?????. Ukawa Huu ni wakati wa kuitisha milions march dar,Kwa maombolezi ya waliotekwa,kuuwawa na uvunjwaji wa haki za binaadamu.

Historia zinajionesha wazi,ukandamizaji haudumu,kulikuwa hakuna sababu ya kutumia mbinu hizi,kwa watanzania wengi,waliokuwa wakiipenda nchi Yao,demokrasia ni Kwa akili ya maendeleo,sio ukandamizaji wa haki za binaadamu.
IMG_0878.JPG
IMG_0879.JPG
IMG_0880.JPG
IMG_0881.JPG
 
Mkuu halafu hawa ccm ni wepesi sana pamoja na vitambi uchwara vyao.
Ni kuwawashia moto tuu na watajua Maji kwenye tikiti yanaingiaje!
Mwenye nguvu ni Mwenyenzi Mungu,binaadamu ni povu tu,Mungu hapendi dhuluma,serikali hii inapimika kwa vitendo vyake,mfano,haya kufyatua kwa risasi kwa polisi,kuelekea katika shabaha ya chini,na kuuwa malaika wa Mungu,kukamata watu ovyo,kuwaweka mahabusi,bila ya Kufuata sheria,sheria za aina zote,zimetiwa kapuni,badala yake,maamuzi binafsi,yanatoka,kwa waliohozi madaraka,vitisho,mauaji,utekaji,ukiukwaji wa sharia nk,milions march Dar es salaam ndio solution.
 
Ukawa Iitishe mkutano Dar watu wa nchi nzima,kupinga dhuluma hizi.
 
Tatizo wananchi wajulishwe haki zao za kibinaadamu,sio zichukuliwe na wakuu wa mikoa,badili ya sheria za kimahakama zinazofuatwa,sio kukiukwa.
Njia pekee ya kudai haki za binaadamu ni mkutano wa nchi nzima Dar es salaam,na hiyo inawezekana sana.
 
Mkuu halafu hawa ccm ni wepesi sana pamoja na vitambi uchwara vyao.
Ni kuwawashia moto tuu na watajua Maji kwenye tikiti yanaingiaje!
Viongozi wa ukawa ndio wenye dira ya kutupeleka kwenye haki, amani,muongozo wao wa kijasiri ndio utakaoleta ukombozi wa haki za kibinaadamu.
 
Mtoa post unajua maana ya mapinduzi na unajua hiki chama kimejiita hivyo?
 
Tatizo ni Chama Cha Majambazi (CCM) kutumia ugaidi kutawala.
 
Jiulize yule Mkurugenzi wa Kinondoni kwa nini aligoma kuwapa viapo (hati) mawakala wa Chadema? Alitaka wafanyeje?
Walienda mpaka makao makuu ya Tume kulalamika kwa Kailima Ramadhan ilikuwa siku ya Alhamisi, akawaahidi atawasiliana na huyo mkurugenzi lakini hadi ijumaa mkutano unafungwa bado hawajapewa viapo. Sasa jmosi ndio uchaguzi, Chadema wangeenda wapi kulalamika.
Hapa CCM na serikali yao walaumiwe milele
 
Mtoa post unajua maana ya mapinduzi na unajua hiki chama kimejiita hivyo?
Juu ya yote hayo,statistic ya mwisho inaonesha ukawa ina 75% ya raia/wananchi inayowaunga mkono,ukawa inataka nini tena??.
 
Jiulize yule Mkurugenzi wa Kinondoni kwa nini aligoma kuwapa viapo (hati) mawakala wa Chadema? Alitaka wafanyeje?
Walienda mpaka makao makuu ya Tume kulalamika kwa Kailima Ramadhan ilikuwa siku ya Alhamisi, akawaahidi atawasiliana na huyo mkurugenzi lakini hadi ijumaa mkutano unafungwa bado hawajapewa viapo. Sasa jmosi ndio uchaguzi, Chadema wangeenda wapi kulalamika.
Hapa CCM na serikali yao walaumiwe milele
Nikizitizama picha juu zinanipa furaha,nikiitizama serikali inanipa huzuni.
 
Back
Top Bottom