MAUAJI DAR: Maiti tatu zadaiwa kuokotwa ufukweni Coco Beach

Sikubaliani kwamba maiti hizo ni za wakosoaji wa serikali kwa sab wanaoikosoa serikali kwa kufikia hatua ya serikali kustuka au kukasirika ni wale wenye wafuasi wengi na wenye convincing power ya kutosha lkn wenye access kubwa kwenye media watu wa namna hiyo wote wanajulikana kwa majina vyeo n.k

Kwa muktadha huo hakuna watu wa namna hiyo walioripotiwa kupotea ambao wanaweza kuakisi hata asilimia tano ya maiti zilizopatikana mpk sasa.
Haiwezekani watu wenye calibre niliyoitaja wapotee kimya kimya never.
Mpk sasa anayesemekana amepotea mwenye calibre hiyo ni Ben saa nane tu.

Ninashawishika kuamini maiti zile zinatoka nje ya Tanzania.
 
Kuna jamaa huku kitaa anaitwa fataki alisema tukio la lissu lina mkono wa serikali na hio siku alikuwa kalewa anaropoka tu,kilichotokea kachukuliwa na maofisa na mpaka Leo haijulikani yupo wapi ..ametafutwa vituo vyote amekosekana

Sasa atakua wapi ???

Huyu ni mmoja tu wa huku mtaani je wa mitaa mingine tusiowajua

Tena huyo fataki masikini ya mungu alikuwa mzibua chemba ,vyoo na fundi...
 
Kuna jamaa huku kitaa anaitwa fataki alisema tukio la lissu lina mkono wa serikali ,kilichotokea kachukuliwa na maofisa na mpaka Leo haijulikani yupo wapi ..ametafutwa vituo vyote amekosekana

Sasa atakua wapi ???

Huyu ni mmoja tu wa huku mtaani je wa mitaa mingine tusiomjua

Tena huyo fataki masikini ya mungu alikuwa mzibua chemba ,vyoo na fundi...
Unadhani huyo serikali itakuwa inashida nae nini ukihusisha udiktekta?

Mtu ambaye angefikishwa mahakamani akatoe m5?
 
Kuna jamaa huku kitaa anaitwa fataki alisema tukio la lissu lina mkono wa serikali na hio siku alikuwa kalewa anaropoka tu,kilichotokea kachukuliwa na maofisa na mpaka Leo haijulikani yupo wapi ..ametafutwa vituo vyote amekosekana

Sasa atakua wapi ???

Huyu ni mmoja tu wa huku mtaani je wa mitaa mingine tusiowajua

Tena huyo fataki masikini ya mungu alikuwa mzibua chemba ,vyoo na fundi...
Huyo jamaa ni wa Morogoro nini
 
Sikubaliani kwamba maiti hizo ni za wakosoaji wa serikali kwa sab wanaoikosoa serikali kwa kufikia hatua ya serikali kustuka au kukasirika ni wale wenye wafuasi wengi na wenye convincing power ya kutosha lkn wenye access kubwa kwenye media watu wa namna hiyo wote wanajulikana kwa majina vyeo n.k

Kwa muktadha huo hakuna watu wa namna hiyo walioripotiwa kupotea ambao wanaweza kuakisi hata asilimia tano ya maiti zilizopatikana mpk sasa.
Haiwezekani watu wenye calibre niliyoitaja wapotee kimya kimya never.
Mpk sasa anayesemekana amepotea mwenye calibre hiyo ni Ben saa nane tu.

Ninashawishika kuamini maiti zile zinatoka nje ya Tanzania.

Issue siyo nani ameuawa au kupoteza issue ni nani wanaotupa maiti hizo??inatokea wapi?

Safari moja huanzisha nyingine.Sisi muda mfupi tuko zaidi ya Kenya.

Kila binadamu wanahaki ya kuishi hata kama ni muhamiaji haramu
 
Kuna jamaa huku kitaa anaitwa fataki alisema tukio la lissu lina mkono wa serikali na hio siku alikuwa kalewa anaropoka tu,kilichotokea kachukuliwa na maofisa na mpaka Leo haijulikani yupo wapi ..ametafutwa vituo vyote amekosekana

Sasa atakua wapi ???

Huyu ni mmoja tu wa huku mtaani je wa mitaa mingine tusiowajua

Tena huyo fataki masikini ya mungu alikuwa mzibua chemba ,vyoo na fundi...

Nakumbuka enzi za JKN kuna vichaa na walevi walikuwa wamejazana kwenye mini mikuu.Asubuhi mpaka saa kumi wako mitaani ikifika saa kumi na nusu hawapo.Kuna mmoja ulikuwa ukimpa soda uliyofungua hanywi ataimwagamwaga hapo chini.Lakini ukimpa sealed anafungua anakunywa.Siyo wa siku hizi wanajitapa bar
 
Sasa kama hawahusiki kwanini hawataki zipigwe Picha, DNA test na ata kutangazwa? Kuna namna hapo na alaaniwe yeyote anayeunga matendo haya ipo siku yy au family member wake yatamkuta, Mungu hadhihakiwi.
 
Kuna jamaa huku kitaa anaitwa fataki alisema tukio la lissu lina mkono wa serikali na hio siku alikuwa kalewa anaropoka tu,kilichotokea kachukuliwa na maofisa na mpaka Leo haijulikani yupo wapi ..ametafutwa vituo vyote amekosekana

Sasa atakua wapi ???

Huyu ni mmoja tu wa huku mtaani je wa mitaa mingine tusiowajua

Tena huyo fataki masikini ya mungu alikuwa mzibua chemba ,vyoo na fundi...
Saafi
 
Huyu mkuu wa TISS ni born again...tena yule wa ndani kabisa inakuwaje ana support mate mabaya mabaya kama haya? Kuua raia kwa wingi hivi kubinya demokrasia uhuru wa habari...visasi kubambikia kesi watu kutekwa???...Siamini kama huyu jaamaa TISS alikubali Ben auawe hapo siamini!!!!
 
Mambo hayaendi hivyo mtoa mada! Kuna mambo kadhaa huwa yanazingatiwa kwenye kudhibiti ukosoaji!! Kwanza serikali lazima ihakikishe kuwa kuna mtu yuko mahali anaikosoa! Mtu huyo atakuwa wa ndani au wa nje ila lazima awepo! Hata kwa gharama za serikali yenyewe,kinachodhibitiwa si moto! Bali ni cheche zake ambazo zikiachwa zisambae ndiyo haswa zinazoweza kuuchoma msitu! Moto mkubwa ambao upo under control ni salama kuliko cheche ndogo isiyo na udhibiti!
 
Back
Top Bottom