Maua Garden mnachekesha umma. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maua Garden mnachekesha umma.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiranja Mkuu, Apr 7, 2011.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Leo ni siku ya mapumziko, nimetoka na familia familia yangu ili kupata mlo kidogo.
  Nikaamua tukapumzike maeneo ya Kunduchi Beach kuna mgahawa tulivu sana wa ki Swiss. Tumekula, tukaona inabidi tuongeze ladha kwa kuweka mayonaise. Jamaa wakasema mayonaise kijiko kimoja ni sh. 1200/=
  kwa kweli nimeachwa mdomo wazi, sita ona ajabu siku nyingine nikiambiwa tomato sosi inauzwa.
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  Rudi kwenye mabanda ya mama lishe acha kujidai mzungu kwa kwenda kula mashikolo mageni
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Lolest!
   
 4. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  We mama umemwelewa mtoa thread au umekurupuka kum-descourage? Tuache negative and descouraing thoughts ambazo zinadumaza mwili na akili.
   
 5. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Haiuzwi hiyo kitu, nadhani walitaka uwabakishie chenji hao wahudumu, usiwaone kufanya kazi hoeli zenye hadhi kubwa wana njaa kinoma, we wape siku moja kisha utaona matunda yake, hawatakuomba tena kwa wiki 3, kila wakikuona umefika mlangoni lazima wakukimbilie na kukuita Mheshimiwa.
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  K.M ni mtani wangu, kabla hakjaipost alinijulisha kwa simu kilicho mpata, nikamwambia hiyo ni namna mpya ya kuombwa tip. Nilipo comment nilikuwa namtania rafiki yangu. Sijui kati yangu na wewe ni nani aliyekurupuka?
   
Loading...