Mau Mau Watoa Ushahidi Wa Dhulma Zidi Ya Uingereza

Junius

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
3,181
139
Ushahidi unaodhihirisha kwamba serikali ya Uingereza ilifahamu dhuluma za kibinadamu zilizotekelezwa na maafisa wake nchini Kenya miaka ya 60 na 50 umewasilishwa katika kesi ya kudai fidia nchini Uingereza.
Wakenya watano ambao wanashtaki serikali ya Uingereza pia wamewasilisha ushahidi ulionakili mbinu za mateso ikiwemo dhuluma za ngono miongoni mwa wanawake na wanaume.
Maafisa wa Uingereza waliwakusanya maelfu ya raia na kuwafungia katika kambi za mateso wakati wa harakati za ukombozi wa uhuru wa Kenya zilizoongozwa na kundi la Mau Mau.

SOURCE:BBC SWAHILI SERVICE
 
Kweli wema hauwozi, dhambi haifi na kama utakavyofanyia watu na ww utafanyiwa hivyo hivyo. Ipo siku dhulma iliyofanyika mwaka 1964 kwa kile kilichoitwa "Mapinduzi Matukufu zanzibar" a.k.a "Mauwaji ya Kimbari", haki itatendeka hapahapa duniani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom