Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,398
Labda leo niwaulize wana JF wenzangu.....................
1. Matusi ni nini?
2. Nani alikuambia kwamba kuna matusi, au ni nani alikufundisha matusi?
3. Matusi yana athari yoyote?
5. Zipi hizo? ni kwa nini mtani (Kuna makabila huitana watani) wako akikutukana hukasiriki?
6. Kwa nini kama siyo mtani wako unakasirika?
Lakini mimi nina mtazamo tofauti..................
Matusi, ninavyofahamu mimi, ni ukweli wa mapokeo (perceived truth). Ukweli halisi (real truth) ni kwamba hakuna matusi, ila kuna maneno yanayowakilisha sehemu za mwili wako, wazazi wako, majina ya wanyama, ndege, wadudu, majina ya mahali (eneo) fulani au kabila fulani. Mfano: mtu akikuambia mbwa, hupaswi kukasirika, ila unatakiwa umwambie kwamba amekosea, wewe siyo mbwa, ni binadamu. Ila ukikasirika, unakuwa mbwa kweli. Tatizo kubwa ni tafsiri iliyowekwa kwenye mawazo yako ya kina (kwenye akili yako) !