Matusi ya Tundu Lissu kwa Taifa haya hapa!!

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,332
2,000
Hivi karibuni kumeibuka misemo mipya nayo ni matusi kwenye siasa za upinzani!!

Naam ukiwa mpinzani siku hizi jua umekuwa mtukanaji kwa taifa.

Ma haya hapa ndio matusi ya Lissu kwa taifa .

Lisau anatukana kwamba Serikali haijali watu wake.

Lissu anatukana kwamba Serikali inaminya uhuru wa kujieleza.

Lissu anatukana anaposema hawajatoa hela ya kumtibia.

Lissu anatukana zaid pale anaposema walinzi waliondolewa ili yeye auwawe bila kikwazo chochote!!

huyu Lissu anatukana anaposema wapinzani karibu kila kiongozi anakesi mahakaman aliyoshitakiwa na serikali huku wengine wako jera.

Lissu anatukana mnoo pale anaposema tanzania tumefikia kukatazana kutembeleana kwenye matatizo. rejea Lema alipotembelewa magereza waliambiwa nn waliomtembelea. na Lissu je nani kaenda kumtembelea husani wabunge wa chama cha ccm kama mbunge mwenzao

Matusi ni mengi ya Lissu tuyaingize kwenye kamusi yetu kama matusi mapya .

Hebu karibu tuorodheshe matusi mapya toka kwa Lissu ili tuweke kumbu kumbu sawa!!

Namalizia na tusi kubwa la Lissu mzee baba ni dikteta uchwara wakati ni sio dikteta au bora aseme ni dikteta kamili!!
 
St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,358
2,000
Kwa sisi wafuga mbuzi tunajua fika kuwa unapomuacha beberu mmoja zizini na majike kama 20 hivi hawatazaliana kwa sababu yule beberu hatapanda majike. Atajiridhisha kuwa hawa wote ni wangu na sina mpinzani. Sasa ili kuongeza uzalishaji mfugaji ataamua kutafuta kabeberu kadogodogo ambako ndio kanabalehe ili kampigie kelele yule beberu mkubwa usiku kucha. Na Kwa zile kelele za huyu beberu mdogo basi beberu mkubwa ataendeleza zoezi la kupanda majike na uzalishaji utaongezeka. Hivyo basi kwangu mimi kelele za Lissu nazitafsiri Kama chachu ya mheshimiwa Rais kuendelea kuchapa kazi kwa bidii bila kuchoka. Go Magufuli Goooo... Hapa kazi tu...
 
PENTAKINYE

JF-Expert Member
Jan 3, 2019
821
1,000

safi sana
 
herzegovina

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
3,054
2,000
hivi karibuni kumeibuka misemo mipya nayo ni matusi kwenye siasa za upinzani!!

naam ukiwa mpinzani siku hizi jua umekua mtukanaji kwa taifa.

na haya hapa ndio matusi ya Lissu kwa taifa .

lisuu anatukana kwamba serikali haijali watu wake.

Lissu anatukana kwamba serikali inaminya uhuru wa kujieleza.

Lissu anatukana anaposema hawajatoa hela ya kumtibia.

Lissu anatukana zaid pale anaposema walinzi waliondolewa ili yeye auwawe bila kikwazo chochote!!

huyu Lissu anatukana anaposema wapinzani karibu kila kiongozi anakesi mahakaman aliyoshitakiwa na serikali huku wengine wako jera.

Lissu anatukana mnoo pale anaposema tanzania tumefikia kukatazana kutembeleana kwenye matatizo. rejea Lema alipotembelewa magereza waliambiwa nn waliomtembelea. na Lissu je nani kaenda kumtembelea husani wabunge wa chama cha ccm kama mbunge mwenzao

matusi ni mengi ya Lissu tuyaingize kwenye kamusi yetu kama matusi mapya .

hebu karibu tuorodheshe matusi mapya toka kwa Lissu ili tuweke kumbu kumbu sawa!!

namalizia na tusi kubwa la Lissu mzee baba ni dikteta uchwara wakati ni sio dikteta au bora aseme ni dikteta kamili!!
Lissu anatukana kwa kumuita Magu "DIKTETA"
 
publito

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
513
1,000
Kwa sisi wafuga mbuzi tunajua fika kuwa unapomuacha beberu mmoja zizini na majike kama 20 hivi hawatazaliana kwa sababu yule beberu hatapanda majike. Atajiridhisha kuwa hawa wote ni wangu na sina mpinzani. Sasa ili kuongeza uzalishaji mfugaji ataamua kutafuta kabeberu kadogodogo ambako ndio kanabalehe ili kampigie kelele yule beberu mkubwa usiku kucha. Na Kwa zile kelele za huyu beberu mdogo basi beberu mkubwa ataendeleza zoezi la kupanda majike na uzalishaji utaongezeka. Hivyo basi kwangu mimi kelele za Lissu nazitafsiri Kama chachu ya mheshimiwa Rais kuendelea kuchapa kazi kwa bidii bila kuchoka. Go Magufuli Goooo... Hapa kazi tu...
Kwahiyo mbuzi jike ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
May 15, 2009
6,773

Kwa huyu mzee ni mbuzi dume

mbona mlitaka kukaua haka kabeneru ili kasiendelee kupiga kelele??
 
masonya

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
373
250
Kwa sisi wafuga mbuzi tunajua fika kuwa unapomuacha beberu mmoja zizini na majike kama 20 hivi hawatazaliana kwa sababu yule beberu hatapanda majike. Atajiridhisha kuwa hawa wote ni wangu na sina mpinzani. Sasa ili kuongeza uzalishaji mfugaji ataamua kutafuta kabeberu kadogodogo ambako ndio kanabalehe ili kampigie kelele yule beberu mkubwa usiku kucha. Na Kwa zile kelele za huyu beberu mdogo basi beberu mkubwa ataendeleza zoezi la kupanda majike na uzalishaji utaongezeka. Hivyo basi kwangu mimi kelele za Lissu nazitafsiri Kama chachu ya mheshimiwa Rais kuendelea kuchapa kazi kwa bidii bila kuchoka. Go Magufuli Goooo... Hapa kazi tu...
Kama kweli 1.kwanini walinzi waliondolewa ili beberu mdogo auwawe?
2.kwanini ulitoa cctv ili kupata aliyemshambulia kabeberu kanakompa chachu libeberu lipande majike
3.kwanini umeweka kwapani fedha za kutibu kabeberu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,724
2,000
Wadhungu Mabeberu "Nereson Mandela is a terrorist, fyekelea mbali". Wakina sie "Nereson Mandela is a freedom figher".
"Lissu mchochezi"........."Lissu anawaamsha wanaoponoa".........Lissu anatukana serikali, msaliti"....."Lissu anausaka utawala wa sheria na haki"

Naambiwa sheria siyo lazima iwe imekaa kihaki. Hivyo huenda ikawa sahihi zaidi kuongelea "utawala wa sheria na haki". Makaburu Afrika Kusini walikuwa na sheria na walihahakisha zinafuatwa lakini sidhani kama zilikuwa sheria za kihaki-usawa etc"
 
Dec 25, 2018
57
125
Kwa sisi wafuga mbuzi tunajua fika kuwa unapomuacha beberu mmoja zizini na majike kama 20 hivi hawatazaliana kwa sababu yule beberu hatapanda majike. Atajiridhisha kuwa hawa wote ni wangu na sina mpinzani. Sasa ili kuongeza uzalishaji mfugaji ataamua kutafuta kabeberu kadogodogo ambako ndio kanabalehe ili kampigie kelele yule beberu mkubwa usiku kucha. Na Kwa zile kelele za huyu beberu mdogo basi beberu mkubwa ataendeleza zoezi la kupanda majike na uzalishaji utaongezeka. Hivyo basi kwangu mimi kelele za Lissu nazitafsiri Kama chachu ya mheshimiwa Rais kuendelea kuchapa kazi kwa bidii bila kuchoka. Go Magufuli Goooo... Hapa kazi tu...
Swali n moja mbn mlitaka kukaondoa duniani aka kabeberuu means alkuwa anawasumbua snaa sio fikir kwanzaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom