Matusi ya kisiasa hujibiwa kisiasa

nkungu mwere

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
258
336
Wadigo husema usinene ukamara,usigombane na jirani ukamporomoshea mitusi mpaka ya nguoni maana hata mkipatana bado maana ya matusi haitabadilika itakuwa ile ile,kama uliitwa mchawi au malaya au mshamba au mwizi basi tambua aliyekutakana vile ndivyo anavyokuona, hata mkisalimiana kwa bashasha jua ndivyo anavyokuona,
 
Ni shetani tu ndiyo hasamehi. Dini nyingi zinaamini kwamba tunasamehe kwa kufuata au kuiga mfano wa Mwenyezi Mungu ambaye huwasamehe waja wake pamoja na kwamba anajua kwamba binadamu wote ni wakosefu. Kama mtu kaamua kumsamehe mtu ni hivyo hivyo. Ndiyo maana ya kusamehe. Lakini kama mtu ameamua kuomba msamaha ni hivyohivyo pia kwamba anajutia makosa yake. Huo ndio ubinadamu. Sasa wewe unataka binadamu waishi kishetani shetani? Wasitubu dhambi, wasisahau yaliyopita, na wasisameheane???
 
Ukweli halisi wa Hayo wanajua wao wenyewe mioyoni mwao na Mungu wao

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Ni shetani tu ndiyo hasamehi. Dini nyingi zinaamini kwamba tunasamehe kwa kufuata au kuiga mfano wa Mwenyezi Mungu ambaye huwasamehe waja wake pamoja na kwamba anajua kwamba binadamu wote ni wakosefu. Kama mtu kaamua kumsamehe mtu ni hivyo hivyo. Ndiyo maana ya kusamehe. Lakini kama mtu ameamua kuomba msamaha ni hivyohivyo pia kwamba anajutia makosa yake. Huo ndio ubinadamu. Sasa wewe unataka binadamu waishi kishetani shetani? Wasitubu dhambi, wasisahau yaliyopita, na wasisameheane???
Bahati njema nami sijapinga kusameheana,bali nijuavyo na ambavyo ndivyo ilivyo asemalo mtu hutoka moyoni,hivyo kuomba msamaha ni jambo moja lkn kuamini kuwa ulichosema ni sahihi ni jambo lingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom