Matusi mazito mkutano wa CCM Nungwi Zanzibar

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,110
2,736
Kikao cha CCM hapa Nungwi imeleta matusi mazito ya nguoni mbele za makamu wa pili wa rais na mh. Vuai nahodha.

Mama Asha Bakari amewatukana Mbowe, Lipumba na Maalim Seif kuanzisha ndoa ya kikristo na kiislamu, akidai kwamba Lipumba analalwa na wakristo wanaotaka kuleta ushoga Zanzibar pamoja na serikali tatu.

Ntaendelea kuwataarifuni baadae maana nimechukua picha nyingi.

Kuna malori mengi sana yamesomba watu, tshirt mipira zinagawiwa bure, aisee hadi na vyakula, vingi sana.
attachment.php
 

Attachments

  • 20140525_172414.jpg
    20140525_172414.jpg
    1 MB · Views: 5,500
Matusi ndio sera ya Ccm mkuu,ebu chunguza hao akina mama tofauti na kuitikia ujinga
 
Asha Baraka au Asha Bakari???


Hayo kama ni ya kweli huyo mama anahitaji msaada maana hiyo ni kuwakosea heshima hata wanaomsikiliza....
 
...hao ndo makada wa ccm wanaotarajiwa kusimamia,kuongoza,kushauri na kubuni mikakati na mipango yamaendeleo ya wanawake wa ccm nchini na kisha wamshauri waziri wao wa wanawake mikakati ya ccm ili nchi ipate maendeleo kama china,oops maskini tanganyika yetu...
 
Ile tafsiri yake ya "kuufyata" aliyoitoa Dodoma, ameiona haikutosha, hivyo ameongeza matusi zaidi, ili aonwe na kusifiwa zaidi na wakuu wa Chama chake, ambao siku hizi wanahesabu kwamba sifa ya kupandishwa cheo, ni mtu kuwa na uwezo wa kuwatukana sana wapinzani! Tabia hii, isipokemewa na Mwenyekiti wa Chama chake, itaipeleka nchi hii pabaya!!!!!!
 
Chama kinamilikiwa na wahuni waliokubuhu,majimama yaliyoshindika kina Zakhia Meghy mashankupe wakongwe

Usimsahau na mwenyekiti wao alivyo na tabia ya ufitinishaji na uchonganishi ili kutawala kwa raha mustarehe na vibibi vya watu kama guberi asha.
 
Kikao cha ccm hapa Nungwi imeleta matusi mazito ya nguoni mbele za makamu wa pili wa rais na mh. Vuai nahodha. Mama Asha Baraka . Amewatukana mbowe na Lipumba na Maalim Seif kuanzisha ndoa ya kikristo na kiislamu, akidaj kwamba Lipumba analalwa na wakristo wanaotaka kuleta ushoga zanzibar pamoja na serikali tatu. Ntaendelea kuwataarifuni baadae maana nimechukua picha nyingi. Kuna malori mengi sana yamesomba watu, tshirt mipira zinagawiwa bure, aisee hadi na vyakula, vingi sana

Nadhani huu ni muda mzuri wa watu kutumia akili zao za kawaida kubaini kama busara za viongozi wao zikoje. Vinginevyo kwa mzazi, mwenye busara na maadili, huwa kwanza anaanza kufikiria wanawe na wajukuu zake aliowaacha nyumbani, wanamchukuliaje kwa kauli na tabia zake.

Ila najua kwa mtu aliyekosa malezi, aliyekulia kwenye familia zisizojali mtoto anashinda wapi, au waliolelewa katika madanguro, huwa ni hali adimu kujua nini maana ya staha na heshima. Ni kawaida kwa malaya hata akizeeka kushindwa kuona kama ni wajibu wake kuangalia malezi ya walio wadogo kwake, kwani huwa wanajua wataulizwa kulikoni nyie kuwa hivyo ili hali mwajua mema yakoje?

Mwisho wa siku ni wazi kuwa ukiona kakulia hivyo, ujue alilelewa hivyo. Na ukiona wanafanya mambo ya kipuuzi, ujue they don't know any better! Ndipo akili, hekima na busara zao zilipoishia!
 
Jamani msishangae kusikia huyu bibi kugombea "urahisi" mwakani kama zawadi yake kwa chama tope wafanyavyo kuwazawadia wote wenye vinywa vichafu kama chake. Nathibitisha dhana yangu kwa kurejelea matusi ya nkamia na muchemba kisha kupewa uwaziri.

ccm ni chama cha matusi
 
Asha baraka amezoea kuwaburuta wanamziki wake.....siasa ameijua lini ....sanasana anatafuta pakufia.
 
Back
Top Bottom