Matusi mazito mkutano wa CCM Nungwi Zanzibar

Huyo bibi hana lolote ni CUF wa kutupa na anajulikana na wanaomjua wanaelewa anachokifanya ,tena CCM muwe na hadhari nae sana ,kama jamaa walisema sindano ikianguka Ikulu wanajua basi mawakala ni disaini za akina Asha ,mmenielewa ,wacha awakaange CCM ,maana kama CCM ni wenye akili basi wangenuona kuwa anakiharibu chama chao ,Asha anatumika kuiharibu na kuichafua CCM ,yaani kwa mtaji wa Asha uamsho watapata nguvu mara dufu.
 
Wacha nitafakari
 
Msishangae wanajf,ccm haijaanzia kwa Asha Bakari ni sera yao,msikie Nchemba,Nkamia,kigwangala,mama mmoja alikuwa akiitwa stiko- katibu mwenezi zbar,vuai ali vuanu,juma shamhuna,baada ya kuasi miiko ya Azimio la Arusha ,ccm imeingiza majangili ndani ya chama
 
Asante kwa kuweka kumbukumbu sawa
 
Kikao cha CCM hapa Nungwi imeleta matusi mazito ya nguoni mbele za makamu wa pili wa rais na mh. Vuai nahodha.

Mama Asha Baraka amewatukana Mbowe, Lipumba na Maalim Seif kuanzisha ndoa ya kikristo na kiislamu, akidai kwamba Lipumba analalwa na wakristo wanaotaka kuleta ushoga Zanzibar pamoja na serikali tatu.

Ntaendelea kuwataarifuni baadae maana nimechukua picha nyingi.

Kuna malori mengi sana yamesomba watu, tshirt mipira zinagawiwa bure, aisee hadi na vyakula, vingi sana.
Angejua kimtokacho mtu kinywaji ndicho kimtiacho unajisi,huyu ni bonge la michepuko,wamemfyatua watoto sita wakamwacha solemba ,hali hii lazima uadhirike kisaikolojia
 
Huyo Bibi Mnafiki na Mzabizabina, mbona akionana na VP1 au akionana na Familia ya VP1 anaufyata? Anaonekana akienda kwa VP1 na kuunga Udugu nae, mnafiki huyo na mchumia tumbo.! Upepo ubadilike sasa ivi atalala huko huko kwa VP1. MSAKA TONGE NAMBA 1 HUYO!
 
Habari yako mkuu?

Siyo huyu mama tu, wengine waliongea vitu visivyo na maana huku wakimwaga matusi. Neno kuu ilikuwa ni CCM hoyeeee....yaani ukitaka kujua utupu wa wana ccm, nenda kwenye vikao vuao
 
Siyo huyu mama tu, wengine waliongea vitu visivyo na maana huku wakimwaga matusi. Neno kuu ilikuwa ni CCM hoyeeee....yaani ukitaka kujua utupu wa wana ccm, nenda kwenye vikao vuao

Mimi nikisikia matusi kichwa kinauma, sipendi matusi na mipasho, hayo ngoja nimwachie mfalme juha na majahili wenzake.
 
Jamani msishangae kusikia huyu bibi kugombea "urahisi" mwakani kama zawadi yake kwa chama tope wafanyavyo kuwazawadia wote wenye vinywa vichafu kama chake. Nathibitisha dhana yangu kwa kurejelea matusi ya nkamia na muchemba kisha kupewa uwaziri.

ccm ni chama cha matusi
Mmh jamani! Hebu mkumbusheni huyo kikongwe juu ya Oyombe Ayila, aliwahi kuwa mbunge huko mkoani Mara na kilichotokea baadaye, atanyamaza kabisa, yeye si anajua wengine wanavyopenda na kupendwa, mkumbusheni hilo, tena pale Magomeni, Dar!!!!
 
Back
Top Bottom