Maturubai ya Misiba yameongezeka Temeke, Yombo. Vijana tubuni

Viunga vya yombo,Buza,mbagala ,temeke ni majonzi

Vijana wanakamatwa usiku wakiwa ndani na baada ya siku taarifa ya kufa kwao kunaripotiwa

Maturibai yameongezeka temeke wiki hii haswa yombo mitaa mingii misiba
It's not fair. Hata kama ni panya ni vita kwa panya road. Ni rahisi sana kuwaua watu wasio na hatia kwa mwendo huu

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom