Maturity circle ya hundi Akiba Commercial | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maturity circle ya hundi Akiba Commercial

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mlalahoi, Jun 10, 2009.

 1. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2009
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Wakulu,msaada kwenye tuta.

  Hivi inachukua siku ngapi kwa hundi iliyowekwa Jumatatu kwenye akaunti ya Akiba Commercial Bank kuwa tayari kwa kuchukua fedha?
   
 2. Dar_Millionaire

  Dar_Millionaire JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2009
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Siku nne. Should be ready by Friday.
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Hivi ni kwa nini isiwe siku 2 au au 3? why 4? nani anasema ni siku 4? Is this fair?
   
 4. G

  Gashle Senior Member

  #4
  Jun 15, 2009
  Joined: Mar 30, 2007
  Messages: 119
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi nijuavyo, hundi huwa zinabadilishwa kati ya benki na benki kwenye kitu inaitwa clearing house. Sasa mzunguko wa hundi hizi ambazo zimeandikiwa mfano hapa Dar ni kama ifuatavyo,

  tuchukue mfano umepeleka hundi yako JUMATATU imepokelewa na benki husika; kwa vile clearing house huwa kati ya saa tatu hadi saa nne na kuna maandalizi ya kufanya kabla ya kuipeleka kule clearing house, hundi yako itapelekwa JUMANNE asubuhi. Ikifika pale wanampa benki anae paswa kuilipa, mwakilishi huyo anaioanisha against list aliyokuja nayo na kuondoka nayo. Kwa sheria za clearing house, kesho yake siku ya JUMATANO hasipoirudisha kama ina makosa, then ile paying bank in presume kwamba hiyo hundi iko sawa. Hivyo basi hiyo benki inakuwa na obligation ya kuanza kuilipa hiyo hundi kesho yake yaani ALHAMIS.

  Kimahesabu yao wanasema muda wa hundi iliyondokwa hapa Dar ni T+3, T ikiwa ni ile siku hundi ilipopelekwa clearing house. Uchelewefu wowote zaidi ya Alhamis ni WIZI MTUPU na UKIRITIMBA usiokuwa na sababu.
   
Loading...