Matunda Yameanza Kuonekana - Hongera Magufuli

Goodrich

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
2,091
1,178
Kwa kweli, taratibu nchi imeanza kubadilika.

Sasa kuna serikali, na kila utapoenda utaona uwepo wa serikali.

Wale waliokuwa wamelala sasa wameamka na kuna uwajibikaji mkubwa.

Leo ukiwa na shida mfano halmashauri, manispaa, wizarani au ofisi yoyote ya umma utahudumiwa kwa nidhamu, weledi tena bila urasimu.

Hongera Magufuli, soon tutapiga hatua kama wenzetu.
 
Ni kweli !
Nilienda kufuatilia Leseni ya biashara manispaa, ni siku mbili tu unapata leseni yako, mradi uwe na nyaraka muhimu.
Kabla ilikuwa unazungushwa, mara mhusika hayupo, na urasimu kibao
 
Back
Top Bottom