Matunda ya SGR yaanza kuonekana, mapato ya bandari ya Mombasa yaongezeka kwa kishindo

Tulizana babu kitu kipo under construction.

Ni kitu gani kwenu hakipo under construction, mumefaulu kusimamisha nini kionekane haswa kwenye hii awamu ya tano. Mindege inabeba nyama, nyingine mumetelekeza Kenya....
 
Ila wq kenya mna roho mbayaaa kwann hampendi wenzenu wakipiga hatua ....juzi reli ya ethiopia imeharibika mkaja kushangilia humu JF acheniniyo roho siku mungu akiwatupia li harricane akasambaratisha bandari ya mombasa sijui mtaliajeee
Wakenya wana roho mbaya ila watanzania pia tuko hivyo hivyo kama sio zaidi. Nishaona comment humu watu wanafurahia mashambulizi ya alshabab huko kenya.
 
Ah kwa kweli hawa majiran zetu wana chuki iv unajua sio humu JF tu yaan chuki ya wa Ke kwa wa Tz ni kitu alive na kipo mioyoninmwao nafikirinkatibya wa Ke 10 bac 6 wana chukia sana tz hasa baada ya kipindi hiki chq jpm utawasikiq wanasema eti siku izi tunajifanya wajanja sanaaa mara dijui danganyika mara sijui mambo ya ATCL lkn ss hatuwaulizi ulenukuta wa Km 700 kqmqnushajengwa ? Tunasikiabwamejengq only 2km tena ni fensi ...mara utawasikia sijui SGR....namnq hii jumuiya haiwez jengwaa
 
Ni kitu gani kwenu hakipo under construction, mumefaulu kusimamisha nini kionekane haswa kwenye hii awamu ya tano. Mindege inabeba nyama, nyingine mumetelekeza Kenya....
We ovyo sanaaa iv kuna ndege gan ya tz imetelekezwa kenya ... ? Ilo swala sahau has ktk awamu ya 5
 
Bado hamjanijibu swali langu, ni kitu gani mumekamilisha kikaonekana kwenye awamu hii ya tano, muhula wa kwanza unaisha, mnaingia kwenye kampeni mwakani, nini kipo cha kuonekana, usitaje miundo mbinu na mafanikio ya Kikwete.
Maana kila mlichoanzisha kwa kukurupuka kimeangukia pua, mara kuhamia Dodoma, mara korosho....
 
80% ya wakenya hawatazami taarifa za Tanzania na hawaelewi chochote kuhusu Tz., come and do a random spot check mitaani, wanajua Tanzania kupitia bongo flava; yani Diamond na wengine kama Muhando na akina Shusho., nyinyi mumelishwa propaganda hadi mumeamini kila mkenya ako na chuki, siasa yenyu ni duni sana!! CCM imeshindwa kuwahudumia kikamilifu kwa hivyo yawawezi kuwajibika wanapeana propaganda eti Kenya ndio shida na kikwazo cha maendeleo yao., wewe wacha upumbavu na kukurupuka fanya utafiti.
Ah kwa kweli hawa majiran zetu wana chuki iv unajua sio humu JF tu yaan chuki ya wa Ke kwa wa Tz ni kitu alive na kipo mioyoninmwao nafikirinkatibya wa Ke 10 bac 6 wana chukia sana tz hasa baada ya kipindi hiki chq jpm utawasikiq wanasema eti siku izi tunajifanya wajanja sanaaa mara dijui danganyika mara sijui mambo ya ATCL lkn ss hatuwaulizi ulenukuta wa Km 700 kqmqnushajengwa ? Tunasikiabwamejengq only 2km tena ni fensi ...mara utawasikia sijui SGR....namnq hii jumuiya haiwez jengwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
80% ya wakenya hawatazami taarifa za Tanzania na hawaelewi chochote kuhusu Tz., come and do a random spot check mitaani, wanajua Tanzania kupitia bongo flava; yani Diamond na wengine kama Muhando na akina Shusho., nyinyi mumelishwa propaganda hadi mumeamini kila mkenya ako na chuki, siasa yenyu ni duni sana!! CCM imeshindwa kuwahudumia kikamilifu kwa hivyo yawawezi kuwajibika wanapeana propaganda eti Kenya ndio shida na kikwazo cha maendeleo yao., wewe wacha upumbavu na kukurupuka fanya utafiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
We umekurupuka na shida ni hujui kiswahili sijakwambia eti sisi tuna amini kenya ndio kikwazo cha tz kuendelea ...are you mad ? Iv ni mtz gan ambae ana amini eti kenya ni kikwazo kwa maendeleo yetu ....sisi wenyewe tunajuabya kuwa siasa ndio kikwazo cha maendeleo mfanonwatu wanazalisha mahindi milions of tonnes lkn sera mbovu zinazuia wakulima kuuza mahindi yao na mambo mengine..... Wake up bro Tz ya leo sio iyo ambayo nyinyi mnaifikiria ktk chuki zenu
 
Bado hamjanijibu swali langu, ni kitu gani mumekamilisha kikaonekana kwenye awamu hii ya tano, muhula wa kwanza unaisha, mnaingia kwenye kampeni mwakani, nini kipo cha kuonekana, usitaje miundo mbinu na mafanikio ya Kikwete.
Maana kila mlichoanzisha kwa kukurupuka kimeangukia pua, mara kuhamia Dodoma, mara korosho....

Swali lako kamuulize katibu mkuu wa serikali au msemaji wa serikali
 
Do not forget the Somalis who wants their coastal strip and borders aligned.

Majanga.
 
Bado hamjanijibu swali langu, ni kitu gani mumekamilisha kikaonekana kwenye awamu hii ya tano, muhula wa kwanza unaisha, mnaingia kwenye kampeni mwakani, nini kipo cha kuonekana, usitaje miundo mbinu na mafanikio ya Kikwete.
Maana kila mlichoanzisha kwa kukurupuka kimeangukia pua, mara kuhamia Dodoma, mara korosho....
Awake ya tano miradi yake ni minene si myembmba kama hiyo yenu ya mwaka mwaka.

Miradi mingine mingi ya awamu ya nne ndiyo inamaliziwa na awamu hii.

Usicheze na ma Giants wa Afrika aka Tanzania.
 
Do not forget the Somalis who wants their coastal strip and borders aligned.

Majanga.

Wazenji pia huhoji lini mtawaachia kisiwa chao wajifanyie yao, kwa hivyo ukihangaika kuwaza pwani ya Wasomali, kumbuka na Wazenji pia.
 
Awake ya tano miradi yake ni minene si myembmba kama hiyo yenu ya mwaka mwaka.

Miradi mingine mingi ya awamu ya nne ndiyo inamaliziwa na awamu hii.

Usicheze na ma Giants wa Afrika aka Tanzania.

Awamu hii iliingia kwa kuponda awamu za awali, sasa nikiangalia kwenye taarifa sioni kimoja kilichoanzishwa na kukamilishwa kwenye hii awamu, vichache inavyojinadi navyo vilitokea kwenye awamu ya nne ya Kikwete na vilikua kwenye hatua za mwiso mwisho kukamilishwa.
 
Awake ya tano miradi yake ni minene si myembmba kama hiyo yenu ya mwaka mwaka.
Miradi mingine mingi ya awamu ya nne ndiyo inamaliziwa na awamu hii.
Usicheze na ma Giants wa Afrika aka Tanzania.

Bado upo binti? Nilidhani umerudi kwenu Somalia.
Ambia huyu mkenya MK254 kwamba sie watanzania tumekamilisha miradi mingi sana. Of course we are a giant na cc ni dona kantri
Brt phase 4;5&6
Electric sgr
Bullet trains
Struggling George
Bwagamoyo
Kibaraka highway
Kinyerere plant
Dar port expansion
The three towers
Mabati rolling mills (jnia terminal 3
Na kadhalika projects.
And the most important thing we've done so far is to curb opposition. Ccm hoyeee!
 
Ongeza na kuweka jiwe la msingi kwa ajil ya bomba la mafuta, koroshow pia....
 
Back
Top Bottom