Matunda ya Hosni Mubarak kutimuliwa yaanza kuonekana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matunda ya Hosni Mubarak kutimuliwa yaanza kuonekana!

Discussion in 'International Forum' started by BONGOLALA, Apr 27, 2011.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  chama cha FATAH na HAMAS kuungana kuunda serikali ya mpito PALESTINA!Esrael mbinu yake ya kuwatumia fatah kuwagawa wapelistina itakua imefika kikomo!usa nao wamechanganyikiwa juu ya muafaka huo kwani hawapendi kuona umoja wa wapelistina!
   
 2. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Itakuwa ngumu sana, waarabu wawaachie tu Wapalestina nchi yao maana nao ni wavamizi tu kwa maslahi sijui ya nani. Hayo matunda unayotegemea wala usihangaike kupiga kelele za kushanglilia kabla! Ni mapema mno. Je na huko kwingine waarabu wanakohitilafiana ni Israel tu na Marekani?
  Tunawajua waarabu hata ukuwapa kila kitu watatafuta kisingizio tu cha mauaji. Sijui wana laana gani،
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Hakuna cha laana ndg yangu ni wamarekani wanawaburuza kama tunavyoburuzwa sie Waafrika
   
 4. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kweli Marekani taifa kubwa, mtu analala njaa kesho analalamikia Marekani, watu wanaamka wanadai haki zao tunalalamikia Marekani.. Tukitoka hapo kwenye kupiga mayowe tunakata kiu na Coca Cola au Pepsi (product za Marekani).
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Ni kweli tupu hawa jamaa hawakimbiliki
   
Loading...