Matunda gani unaweza kula na wali/ubwabwa?

Hii dorian ndo tunda gani, maana tumezoea dorian kwenye muziki ni aina mojawapo ya scale

Mimi najua tunda linaloitwa Durian ambalo linapatikana sana Thai na Malaysia na lina harufu mbaya sana kama mtaro uliooza ila ni tunda tamu sana
Huko Thai ni marufuku kubeba kwenye public transports kwa harufu yake
 
Hii dorian ndo tunda gani, maana tumezoea dorian kwenye muziki ni aina mojawapo ya scale
Durian.jpg
 
Back
Top Bottom