Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenitoa udenda aisee
Kweli kabisa matunda damu hayapo ivyoHayo siyo matunda damu
Hayo sii matunda damu, Wapo huku angalia wasikuchukue kwa uongohayo ndiyo matunda damu. juisi yake ipo kama damu.
100%
Uwiiii nayapendaaa
Jina jingine ni matumante kwa wanaotoka kanda ya kaskazini ila ya kule yapo kama hayaHivi haya matungusha ndo Matunda damu siku hizi
Bujibuji tunaitaje haya matunda?
Jina jingine ni matumante kwa wanaotoka kanda ya kaskazini ila ya kule yapo kama haya View attachment 446258
Mangubwisyausisahau mambula na makusu.