matumizi yake makubwa

Lord K

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
213
37
Of coz nampenda sana my girl friend but ana matumizi makubwa sana ya pesa na mengine siyo ya muhim sana na ukizingatia mimi kijanan najijenga bado. Naomba ushauri wenu ,je nimnyime au nifanyeje?
 
Hakuna gharama kwa umpendaye labda uwe humpendi.

Chamsingi uwe muwazi kwake kama unaweza anachotaka ama huwezi mweleze ukweli,
Ila kama ulimuanzia kwa kujifanya pedeshee utakula jeuri yako sasa.
 
Punguza matumzi ya K na yapesa yatapungua. Pesa nyingi Inatumika Kufanyia marekebisho na maboresho K ili kuhakikisha inabaki katika STANDARD nzuri, hata baada ya UHARIBIFU endelevu unaoufanya. (Samahani lakini Mambo ya Walimwengu)
 
Hebu tupe mchanganuo wa matumizi yake. Nways inawezekana ulishamzoesha ma surprise ma shopping nn.. Pole kijana!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Punguza matumzi ya K na yapesa yatapungua. Pesa nyingi Inatumika Kufanyia marekebisho na maboresho K ili kuhakikisha inabaki katika STANDARD nzuri, hata baada ya UHARIBIFU endelevu unaoufanya. (Samahani lakini Mambo ya Walimwengu)

Mmh kwa maana hiyo mnauza K??

Hatuuzi ILA USTAARABU KWENYE UTUMIZI WA MALI ZA UMMA NI MUHIMU!!!!!!!! We umeikuta katika hali nzuri na sio wa kwanza kuitumia, na kama unajua hutoiweka ndani, wapitia tu baasi hakikisha WAITUNZA na kuifanyia renovation za mara kwa mara ili Wenzio wakija kutumia waikute katika hali na ubora wa kuridhisha!!!!
 
Pepsi ya 600 inatosha kufanya marekebisho. Oshea pepsi itarudi kama awali. Mambo ya sheer illussion yanahusika vp na K renovation??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Of coz nampenda sana my girl friend but ana matumizi makubwa sana ya pesa na mengine siyo ya muhim sana na ukizingatia mimi kijana najijenga bado. Naomba ushauri wenu ,je nimnyime au nifanyeje?

kwani hukujua kwamba kujijenga ni pamoja na kuwa girl friend?
 
sasa kama we ni kijana unajijenga ulimtafuta wa nini? au ulitaka awe anakutunza yeye ili zako utumie kujijenga, kama huwezi kutunza achia wanaojua kutunza.
 
K inapotumika ndio inazidi kuwa nzuri....kama nikumlipa kwaajili ya kuboresha K, si bora nikanunue nijue nimeikodi.......! Anapotaka alipwe kupitiliza kwani kuni zetu hazitumiki.......?

Ni kuwa, amempenda dada anayemuuzia..lol
 
Of coz nampenda sana my girl friend but ana matumizi makubwa sana ya pesa na mengine siyo ya muhim sana na ukizingatia mimi kijanan najijenga bado. Naomba ushauri wenu ,je nimnyime au nifanyeje?

Let me tell you ,women loves money kama Mtu anakuambia wanawake hatupendi pesa atakudanganya.ndio maana women cheat and they brag.women needs to shop dress up and look good and drive a nice car and eat nice organic food .Gym palate spar hayo yote ni mahitaji ya mwanamke.lazy broke stingy men is a problem need to be fixed. Money is important honey mwanaume asiyekuwa na pesa is very stressful promise less na mwanamke gani wants a useless men like that .Mwanaume pesa babu
 
I like this. Keeping it one hundred.
 
Suluhu ni kukaa naye chini na kumueleza ukweli na hali halisi!

Usiumie wakati una uwezo wa kutatua tatizo!

Of coz nampenda sana my girl friend but ana matumizi makubwa sana ya pesa na mengine siyo ya muhim sana na ukizingatia mimi kijanan najijenga bado. Naomba ushauri wenu ,je nimnyime au nifanyeje?
 
Hahahahahahahahahahahha
umenichekesha sana!
Labda jamaa ana maanisha kuwa anaombwa pesa kuzidi huwezo wake!

Punguza matumzi ya K na yapesa yatapungua. Pesa nyingi Inatumika Kufanyia marekebisho na maboresho K ili kuhakikisha inabaki katika STANDARD nzuri, hata baada ya UHARIBIFU endelevu unaoufanya. (Samahani lakini Mambo ya Walimwengu)
 
ushaharibu toka mwanzo unategemea nini sasa? ulipokuwa unamtongoza ulijiweka matawi na yeye akachukulia hivyo up to now...! Kumshawishi apunguze matumizi inahitajika nguvu ya ziada, Kama una future nae anaweza kukuelewa kwamba unapunguza matumizi kwa sababu gani? sasa ushasema "girl friend" sijui ht kama kwenu wanamjua... angekuwa mchumba ambaye ni mke mtarajiwa nafikiri wengi sana wangekupa mawazo lakini kwa girl friend...Usishangae majibu ya "ACHANA NAE TU YAKAWA MENGI KWANI ATAKUFILISI
"
 
Haaaaaaa mutoto ya New yok!
Huyu jamaa anatumia kuzidi uwezo wake!
Hupo hapo Muke ya Muzungu!
Ila uliyo yasema yana ukweli hakuna mwanamke asiyependa pesa!

Let me tell you ,women loves money kama Mtu anakuambia wanawake hatupendi pesa atakudanganya.ndio maana women cheat and they brag.women needs to shop dress up and look good and drive a nice car and eat nice organic food .Gym palate spar hayo yote ni mahitaji ya mwanamke.lazy broke stingy men is a problem need to be fixed. Money is important honey mwanaume asiyekuwa na pesa is very stressful promise less na mwanamke gani wants a useless men like that .Mwanaume pesa babu
 
Suluhu ni kukaa naye chini na kumueleza ukweli na hali halisi!

Usiumie wakati una uwezo wa kutatua tatizo!

Unaingiaje uwanjani kucheza mpira huna miguu.huna pesa kaa chonjo sio kuharibia watu maisha .mwanaume pesa huna pesa unakuwa Kama Chura ndani ya maji.watu wanachota maji na Chura kutwa kulalamika maji yangu maji yangu .
 
Punguza matumzi ya K na yapesa yatapungua. Pesa nyingi Inatumika Kufanyia marekebisho na maboresho K ili kuhakikisha inabaki katika STANDARD nzuri, hata baada ya UHARIBIFU endelevu unaoufanya. (Samahani lakini Mambo ya Walimwengu)
2012 hivi kuna mwanamke anataka mwanaume asiye
Na pesa.utachitiwa kaka .mwanaume pesa it's very annoying and less attractive to have a men who counts how much money they have unless you have a lot to inherit from your family
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom