Matumizi ya wifi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi ya wifi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Born Star, Jan 29, 2012.

 1. Born Star

  Born Star JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Jamani naomba kuelewesha matumizi ya wifi
   
 2. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kweli sasa nimeamini JF imeingiliwa na watoto wa fcbk!hakuna cha maana mtu akiuliza atajibiwa,jamani tunaomba kuzingatia Jf ni pana sana na kila kitu kimewekwa kwa mpangilio wake,na sehem yake,kama unapenda utani nenda Jokes ipo sehem,lakini kuna sehem mtu anakuwa serious,kama hujui ni bora usijibu chochote,hii sehem ilikuwa ni sehem muhimu sana kwa watu kujifunza,watu wamepata ushauri wa maana hapa,na watu wamepata taarifa muhimu hapa,na wengine wamepata kazi hapa,kwa hiyo watoto wa fcbk tunaomba utoto wenu pelekeni huko fcbk,
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,767
  Likes Received: 7,072
  Trophy Points: 280
  wifi matumizi yake ni kama internet ya kawaida tu inayotolewa na mitandao sema faida yake mara nyingi hutolewa bure, mfano maeneo ya kujifunza kama vyuo, pia wifi ina faida kubwa sababu inaweza kua network ya haraka kuliko broadband na dial up connection
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wifi ni Teknolojia ya mawasialiano bila waya kati ya kifaaa kimoja na kingine kubadilsiaha au kutumiana data .inatumua frequeny amabzo ni free haziitaji kulipiwa wala kuombewa kibali na mamlaka za mawasiliano 2.4. ghz . Teknolojia hii sasa hivi inatumika kwenye vifaa vingi.... Endelea kusoma machapisho haya
  So ukisoma hizo chapisho utoana kuna aina mbali mbali za Wifi netoworks . Kwenye chuo au shule kunaweza kuwa na AP ambapo wanafunzi wenye computer au simu wanaweza kupata mtandao Wi-fi connection kupitia Ap ya chuo au taisis yeyote kama hoteli ........
   
 5. BJBM

  BJBM JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Majibu yote yameshatolewa na wadau hapo juu esp Mtazamaji kakupa somo in deep na vielelezo yakinifu, sema hujaelewa wapi tukudadavulie.
   
Loading...