Matumizi ya vile vyandarua vya msaada wa kutokomeza malaria tz

eucalyptos

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
391
139
IMG_20121024_142741.jpg

IMG_20121024_150336.jpg

IMG_20121024_150255.jpg
 
Vina kazi nyingi sana hivyo. Huku kwetu wanafugia vifaranga ili visiporwe na kunguru.
 
mi nishaona zikitumika kwa kazi nyingi zaidi,kule umasaini kuna kamba za kufungia mbuzi za chandarua,zinapatikana sana mnadani,pia kwa gari za porini,wanafunga chandarua kwenye ngao,ili wadudu wasiingie kwenye rejeta,Tabora,zinachujia asali.
 
Vina kazi nyingi sana hivyo. Huku kwetu wanafugia vifaranga ili visiporwe na kunguru.

Mpaka kwenye ujenzi wa maghorofa wanaweka pembeni ya vyuma kuzunguuka ghorofa ili vitu vikidondoka kutoka juu vinasaswe (sasa sijui msumeno au nyundo ukidondoka utazuiwa na chandarua na watu wa CRB wapo)
 
Ni nachojua ni kwamba hadi sasa, teknolojia ya recycling kuhusu vyandarua haipo hapa. Sasa mtu ai=kitumia chandarua na kachoka kukishona afanyeje? Si anatumia kazi nyingine? Mbona hata wake zenu wanafulia T-shirt zikitoboka au zile zilizopauka? Au wanaoshea magari, mi sioni shida kabisa.

Pili, vyandarua decision was top down kwa vile wananchi hawakushirikishwa kikamilifu. Ndo maana wengi wanavitumia vibaya.
 
Back
Top Bottom