Matumizi ya umeme miaka 8 kwa Mtanzania, Ni sawa na mwezi mmoja Mmarekani

idoyo

JF-Expert Member
Jan 13, 2013
3,050
1,401
Ripoti iliyopewa jina la 'Seizing Africa's Energy and Climate Opportunities 2015', inaonyesha kuwa itachukua wastani wa miaka minane kwa Mtanzania wa kawaida kutumia kiasi cha umeme kama kile anachotumia Mmarekani wa kawaida katika mwezi.

__320x320_5577cad1e4f5f.jpg

Though international community has set the goal of achieving universal access to modern energy by 2030, the sub-Saharan Africa is not on track to achieve that target. According to a new report by the Kofi Annan's Africa Progress Panel, it will take Africa until 2080 to achieve universal access to electricity.

The report, dubbed ‘Seizing Africa's Energy and Climate Opportunities 2015,' shows that it would take the average Tanzanian eight years to use as much electricity as an average American consumes in a month.
In sub-Saharan Africa, 621 million people lack access to electricity - and this number is rising. This size of the market points to significant opportunities for investment and household savings.

According to the report, Africa's highly centralized energy systems only benefit the rich and bypass the poor.
Released in Cape Town last week, the report notes that bottlenecks in the energy sector and power shortages are costing the region two to four per cent of GDP annually, undermining sustainable economic growth, jobs and investment. It calls for heavy investments by governments in the energy sector.

"One of the greatest barriers to the transformation of the power sector is the low level of tax collection and the failure of governments to build credible tax systems," the report stated.

Domestic taxes can cover almost half the financing gap in sub-Saharan Africa, and redirecting $21 billion spent on subsidies to wasteful utilities and kerosene to productive energy investment, social protection and targeted connectivity for the poor would show that governments are ready to do things differently.

"I urge African leaders to take that step," said Mr. Annan.

Additional revenues can be mobilized by stemming the hemorrhage of finance lost through illicit financial transfers, narrowing opportunities for tax evasion and borrowing cautiously on bond markets.

The report notes that energy systems in Africa are chronically under-financed, as about three-quarters of government spending is allocated to operations and maintenance, leaving little scope for investment in an expanded, more efficient and equitable energy system.

Two-thirds of the energy infrastructure that should be in place by 2030 has yet to be built, while demand for energy in Africa is set to surge, fueled by economic growth, demographic change and urbanization.
kutoka corporate digest
 
Ha ha ha! Hiki sasa kichekeso. Twende kwa facts; Mwaka 2011, mtumiaji mkuu wa umeme kwa kaya alikuwa nchi za Scandinavia, Iceland, Kuwait, na nyinginezo pengine kutokana jiografia zao (baridi/joto kali, n.k.). Kwa kuwa hoja yako imezungumzia Marekani Vs Tz basi hebu twende na nchi hizo mbili "marafiki".

Mwaka 2011 kaya za Marekani zilitumia wastani wa 13,246kWh (au units). Hii maana yake ni kwamba, kwa siku wastani wa matumizi ni 13,246/365 = 36.29Units kwa siku. Tafsiri yake ni kwamba kwa bei ya umeme hapa kwetu (T.Shs.258 per unit); kaya ya Marekani ili-spend 36.29 x 258 = 9,362.92 kwa siku (au 280,887.78 kwa mwezi au 3,370,653.37 kwa wastani kwa mwaka).

Tuje Tz: Mwaka huo huo, wastani kwa Tz ilikuwa 92Units (ninety two). Maana yake kwa siku wastani ni 92/365 = 0.2521 sawasawa na spending ya TShs. 258 * 0.2521 = T.Shs. 65.04 kwa siku (au 1,951.25 kwa mwezi au 23,415.05 kwa mwaka). Tuwashukuru Ngeleja na Muhongo (watangaza nia) kwa jitahada kubwa kwenye sekta ya umeme Tz.

"Men lie, wome lie; numbers don't lie".

Link hiyo hapo: Electric power consumption (kWh per capita) | Data | Table
 
for sure, numbers don't lie:

US per capita consumption (2011)=13,246 kWh which translates to 1,103.83 kWh a month.
TZ per capita consumption (2011)= 92 kWh which translates to 7.66 kWh a month.

an average US citizen consumption in a month (1,103.83) is an average TZ citizen consumption in almost 12 years (92 x 12 = 1,104)
 
US: monthly consuption = 1,103.83 (approx. 1,104)
TZ: 12-year consuption = 1,104

So, US monthly = TZ 12-years. Dah! What a coincidence! Miracles of numbers! Thanks Mkuu kwa kugundua siri hiyo.
 
HUYO average Tanzanian anawasha energy seva moja kwa masaa 2 kila siku labda!!

0.2521kWh is equivalent to 0.2521 x 1000 = 252.1Wh. Energy saver ya wastani wa 30W ita-run for 252.1/30 = 8.4 hours. Akiiwasha saa 1:00 jioni itazimika saa 9:15 usiku.
 
US: monthly consuption = 1,103.83 (approx. 1,104)
TZ: annual consuption = 1,104

So, US monthly = TZ annually. Dah! What a coincidence! Miracles of numbers! Thanks Mkuu kwa kugundua siri hiyo.
hahaha!!! nini hiki umeandika? hiyo 1,104 sio TZ annual consumption, elewa hesabu, ni 12-year consumption (92 x 12). go back to your post when you wrote "Tuje Tz: Mwaka huo huo, wastani kwa Tz ilikuwa 92 Units"
 
HUYO average Tanzanian anawasha energy seva moja kwa masaa 2 kila siku labda!!
wengine hawana umeme kabisa. ndiyo maana ya average (per capita), inajumuisha population yote gawanya kwa matumizi ya taifa!
 
hahaha!!! nini hiki umeandika? hiyo 1,104 sio TZ annual consumption, elewa hesabu, ni 12-year consumption (92 x 12). go back to your post when you wrote "Tuje Tz: Mwaka huo huo, wastani kwa Tz ilikuwa 92 Units"

Dah! You're right. Nime-edit Mkuu.

Kichekesho kweli kweli; yaani matumizi ya umeme ya Mmarekani kwa mwezi mmoja ni sawa na matumizi ya miaka 12 kwa mtanzania. Ukienda Scandinavia na Iceland ndio unaweza kuzimia kabisa huenda ikawa 50 years. Halafu mitangaza nia inatuhadaa eti inataka kutuvusha kwenye uchumi wa kati endapo tutaipa ridhaa. Kwa mwendo huu wa ma-CCM tunahitaji miaka 200 kufikia hapo walipo "wenzetu".
 
hata yule prof. alietembea nchi nyingu duniani alishindwa na taanescore yake. piga chini wote mwaka huu.
 
wengine hawana umeme kabisa. ndiyo maana ya average (per capita), inajumuisha population yote gawanya kwa matumizi ya taifa!

Kama ni hivo poa!

Lakini ameseme "average Tanzanian" maana yake nilivomuelewa wenye uwezo so walio below average hajwainclude. Vinginevo ni upuuzi kugawanya kwa population yote na hii ndio inawafanye waimbe kuwa uchumi wa Watanzania umekua kumbe ni jamaa wachache wanaohodhi asilimia kubwa ya uchumi tu.
 
Back
Top Bottom