lukenza
Senior Member
- Apr 11, 2010
- 120
- 8
Nime download program inaitwa INVOICE BY CLICK
Hawa wenye program hii siwaelewi kabisa
wameweka software yao kwenye internet lakini ukijaribu kuwasiliana nao kwa
ajili ya wakuuzie hawajibu hata msg moja
software hii nimeipenda na imeshafiki muda wake wa ku expire ( 30 days trial )
Nimesikia kuwa unaweza kutumia program inaiTorret kwa ajili ya kuifungua na ukaitumua siku zote
Tafadhali mwenye ujuzi anisaidie