Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,439
- 12,294
Hivi hizi waya hazina madhara kweli kwa afya zetu? maana naona trend imekua kubwa sana ya kutumia stili waya kusafishia masufuria.
Na ukizingatia wanawake wa siku hizi kazi zote wanawachia mahausi geli je kunakua na umakini kweli katika uoshaji wa sufuria kuhakikisha mabaki yote ya waya yanaondoka? au ndo tunakula tu mawaya kupitia misosi na ndo mana kansa za tumbo ziko kibao na kesi za vidonda vya tumbo haziushi(japokua vidonda husababishwa na sababu za kitaalamu zaidi).
Tafakari!!