Matumizi ya 'steel wire' na uhatari wa afya zetu!

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,439
12,294
Hivi hizi waya hazina madhara kweli kwa afya zetu? maana naona trend imekua kubwa sana ya kutumia stili waya kusafishia masufuria.

Na ukizingatia wanawake wa siku hizi kazi zote wanawachia mahausi geli je kunakua na umakini kweli katika uoshaji wa sufuria kuhakikisha mabaki yote ya waya yanaondoka? au ndo tunakula tu mawaya kupitia misosi na ndo mana kansa za tumbo ziko kibao na kesi za vidonda vya tumbo haziushi(japokua vidonda husababishwa na sababu za kitaalamu zaidi).

Tafakari!!
 
Kweli mkuu, madhara hutokea tu pale zisiposafishwa salama hizo sufuria...ila zikasafishwa vizuri sana, madhara hamna
 
Kweli mkuu, madhara hutokea tu pale zisiposafishwa salama hizo sufuria...ila zikasafishwa vizuri sana, madhara hamna
Nimeikumbuka sufuria yangu. Hapa Steel wire haipindui?
nyama2.jpg
 
nini steel wire!!sufuria yenyewe ina madhara..ina sumu tunaila kila siku...kikubwa ni kula vitu vya asili vinavoondoa sumu mwilini..
 
Sufuria zenyewe zina madhala, nyie hamjiulizi Sufuria inachakaaje!
Mpikie vyungu tu ndio salama.

Au tumieni mchanga kusugulia hayo masufulia yenu...ila tatizo mnakaa kwenye maghorofa (viota kaa ndege).
Sufuria is one of the popular source of iron minerals in the body.madini ya chuma ni muhimu katika utengenezwaji wa damu mwilini.
So ukimuona dogo anakwangua ukoko kwenye sufuria kwa kutumia kijiko kuna faida zaidi ya ukoko.ni ngumu kuamini lakini iko hivyo.
 
Mhhh hii sasa ni ngumu kumeza
 
Back
Top Bottom