Matumizi ya simu

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
Siku hizi kumezuka mtindo watu kugeuza simu wakati wa kuongea. Badala ya kusikilizia upande wa skrini anasikilizia upande wa nyuma (usawa wa kamera). Wajue tu kuwa sio fasheni bali ni maangamizi.
Pale ndipo penye eria ya simu na pana mionzi mikali sana wakati wa kuongea. Mionzi inaongezeka ukali mtu anapo block eneo hilo hivyo kufanya madhara kuongezeka. Tumieni simu katika matumizi sahihi.
 
Asante kwa ushauri mkuu, nasikia siku watu wanageuza kila kitu sijui tunakwenda wapi. Nasikia simu za kichina nazo zimezidi makelele
 
Mkuu ubarikiwe kwa kutoa ushauri wa bure wenye faida sana kwa maisha ya watumiaji wa simu.
 
Back
Top Bottom