Matumizi ya simu kwenye mambo ya faragha na madhara yake

DMmasi

JF-Expert Member
Nov 28, 2020
420
646
Awali ya yote nianze kwa kuwasalimu wanajamvi, natumahi mnaendeea vyema na harakati za kuyajenga maisha ya sasa na ya baadaye.

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa sisi kama vijana tumejikuta tumezaliwa kwenye wakati ambao teknolojia ipo juu na jambo ilo kwenye upande wa mawasiliano kumekuwa na kasi kubwa tofauti na kipindi cha nyuma.
Maendeleo hayo yametengeneza uwezo wa watu kupeana taarifa kiurahisi kuhifadhi taarifa na kumbukumbu kwenye vifaa vyao kwa urahisi sana.

Kama kwenye swala la picha kipindi cha nyuma unaita mpiga picha anakuja kwa mwenzi mara mbili unamlipa na mapozi anakuchagulia ila sasa ivi ata mgeni akija nyumbani hapewi photo album muhimu kwake ni chaji.

Maendeleo ayo ni mazuri lakini matokeo yake nikama maendeleo yako mbele ila akili zetu ziko nyuma bado kwani kumekuwa na madhara yanayowakumba watu labda kwa kutokujua lakini pia kwakujua ila tamaa hutuzamisha. Mfano wizi wa kimtandao na mengine mengi yanayotokea, mfano tukilichukulia ili la kusambaa kwa picha za faragha ambalo limekuwa tatizo kubwa linatokana na;

1. Ushamba wa kutokujua matumizi ya simu na kutoheshimu mambo tunayoyafanya sirini

2. Tamaa za kupata fedha kirahisi (kumekuwa na sababu zinazo zungumzwa kuwa watu hujirekodi kwasababu kuna kiwango cha fedha wameahidiwa kulipwa lakini hugeuka na wao ndio utakiwa kutoa fedha ili picha zao zisisambazwe, hapa basi tunaona ata aliye ahidi fedha lengo lake ni kumtega mtu ili apate fedha)

Madhara ya mambo haya huwa mengi katika jamii na kwa muhusika ambaye picha zake huvujishwa nayo nikama haya
Muhusika:

*Msongo wa mawazo
*Kupoteza thamani yake katika jamii
*kupoteza fedha
*kutengwa na jamii( kuna pahala utakosa nafasi yakufanya kitu au kazi)
Jamii;
*Kwa upandee wa jamii linapoteka hili watu wengi hupoteza muda wao kwa kutumia nguvu kubwa kuzipata picha izoo (utasikia oyaah ushapata iyo dhambi unitumie na mimi)
*Pia hutengeneza nafasi katika jamii kuyaona mambo hayo ni yakawaida na kuanza kuyaishi (kadiri muda unavyokwenda ndivyo picha hizi zinazidi kuwa nyingi)

LENGO HASA LA MADA HII NININI
*Nikukumbusha wewe kama kijana na mtumiaji wa mitandao unayo nafasi ya kumpa elimu hii jamaa , rafiki au ndugu yako juu ya kujiweka mbalii na utaratibu huu wakutumia simu wakati wa kufanya mambo ya faragha na pia kuto kumwamini mtuu kirahisii na hakuna pesaa inayokujaa kwa uwepesi kama tunavyozani
*Pia mkumbushe kuitambua nafasi yake katika jamii na pale anapotaka kufikia kesho hivyo ajitahidi kuvikwepa vikwazo vitakavyo mrurisha nyuma na hichi kikiwa ni moja kati ya hivyo

*MWAMBIE ASIMWAMINI MTU WALA YEYE MWENYEWE KWANI KUNA MUDA ANAWEZA AKALEWA AKAJISALITI

*JILINDE MLINDE NA MWENZAKO TUJIEPUSHE NA HAIBU NA MATESO HAYA
 
PAMOJA NA KUANDIKA HIVI LAKINI UKITAKA KUJUA HII NCHI NGUMU SANA WEWE SUBIRI KUNATUKIO LINGINE MFANANO LITATOKEA🤣🤣🤣
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom