Matumizi ya simu katika Mahusiano

mmmh juzi tu kuna jamaa kakagua simu yangu weeeeee aliondoka bila kuaga ................

Mxiiiiuuuuu
 
Jamani kama mulikubaliana kuwa mwili mmoja kwa nini simu ziwekwe secuty ?? hapo uaminifu ni zero ila simu ikiwa huru kwa yeyeyote kati yenu kutumia hiyo inakuwa pouwa kabisa. au unasemaje babu!!! je waeza mruhusu bibi akague simu yako???? hahahaha.
 
Sioni kama ni vyema japo inasemekana mkiwa kwenye ndoa ni kitu kimoja so hahitaji kufichana kitu!

Mimi naamini kuna siri ambazo si lazima azijue mke wangu naye kadhalika ana siri ambazo sihitaji kuzijua!
kama hizo za kuwa na michepuko eeeeh... safi sana :A S-eek::peep:
 
hahah hapo chacha.... mm ntawa advice wasameheane tuu coz hyo ngoma droo imetisha.. then wagange yajayo.:A S 109:
 
Sio lazima uwe unaongea nae kila siku bhana na mapenzi ya namna hiyo ni rahisi kuchokana ila hiyo ni kwa upande wangu mwingine anaweza kusema kuwa ni sawa kila mtu ana mawazo yake. Kwangu mimi naona ni hivyo.
 
Hakuna formula inategemea mlikutana katika misigi ipi na uhusiano wenu unalenga nini, kuna akina sisi hata mtu akichelewa kujibu text tu unaumwa! Sio ulimbukeni bali ni mazoea, mapenzi hayana formula. fanya kile unaona ni the best kwako au kwenu! lakini kumbuka, the greatest Love of all is learning to love yourself.
 
Back
Top Bottom