Matumizi ya silaha dhidi ya binadamu ndio mbinu ya mwisho ya kulinda utawala unaoanguka!

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Polisi wanamtaka dereva wa Lissu, ambaye naye ni muhanga/victim. Polisi wameshindwa kujua mahali/the hideout ya gari lilotajwa na Lissu kuwa linamfuatilia? Gari ambalo dereva anadai ndio hilo lilowafuatilia hadi tukio la kushambuliwa kwa Lissu lilipotokea. Namba za gari zimetajwa! Polisi wanajua hizo namba za gari mmiliki wake nani? Au hizo namba hazijasajiliwa? Kama zimesajiliwa, mmiliki ni nani? Huyo mmiliki alikuwa wapi siku ya jaribio la kumuua Lissu? Au gari yake alimkabidhi nani?
Polisi mnataka kumfanya nini dereva wa Lissu, ambaye kwa kanuni za uchunguzi yeye ni shahidi wa macho, eye witness!
Kazi ya shahidi wa macho (ingawa si mara zote wamekuwa sahihi) ni kutambua wahalifu au vyombo na mazingira ya uhalifu! Je! Polisi mmekamata lile gari ili dereva aje kulitambua na kuwahakikishia kuwa ndio yenyewe?
Mmekamata watuhumiwa ili dereva aje kusema ndio hao waliyewahi kuwaona maeneo mbalimbali wakiwa wanafuatilia Lissu?

Ni kanuni gani ya kiuchunguzi inavyotaka kukamata shahidi kabla ya mtuhumiwa? Sasa shahidi anakwenda kutoa ushuhuda gani kama ushahidi haupo?

Anyway! Sio kosa kubwa kumtaka dereva wa Lissu kabla ya kukamata mambo mengine kwa sababu anaweza kusaidia taarifa zaidi na kurahisisha kazi ya uchunguzi. Hata! Hivyo mienendo ya hiki kinachoitwa jeshi la polisi inatia shaka sana. Naweza kusema, bila kububuja maneno, kama pre-emptying, kwamba dereva wa Lissu asiende polisi kichwakichwa. Polisi sio wa kuwaamini!

NOTE.
Usimkaripie mwenye dharau asije akakuchukia,Mkaripie mwenye hekima,naye atakupenda. Mwelimishe mwenye hekima naye atazidi kuwa na hekima;mfundishe mwenye haki,naye atazidi kuwa na elimu.
 
Syo utawala ulioanguka bali utawala wa shetani
 
Mpaka sasa hakuna hata anayeshikiliwa kutokana na lile tukio, bado wanataka tuamini hawahusiki.

Naamini polisisiem walihusika moja kwa moja kwenye hili tukio wakishirikiana kwa karibu na bashite wakiwaongoza wauaji na kuhakikisha hawapati kikwazo chochote.

Hili halihitaji akili kubwa kulielewa.
 
vema
 
Back
Top Bottom