Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
Kama sheria inasema chanjo ni lazima, kwanini serikali ya CCM ilivunja sheria na kusema kwa imma kwamba chanjo ni hiyari?Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.
Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.
Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.