Hahaha, hao ni wapinga chanjo kama wewe ndugu. Hakuna kitu kama hicho. Hiyo conspiracy haina tofauti na ile ya Gwajima ya kugeuka Zombie na kutoa chaji za umeme.Kama umechanjwa mkuu unaogopa nini? Tafuta information zaidi rafiki --- THE VACCINE DEATH REPORT – Millions Are Dying From The Injections