#COVID19 Matumizi ya sheria yatasaidia kuhakikisha Watanzania wote wanaostahili kuchanjwa chanjo ya COVID – 19 wanachanjwa kwa wakati, hakuna kubembelezana

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,787
2,000
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.

Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.

Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
Kama sheria inasema chanjo ni lazima, kwanini serikali ya CCM ilivunja sheria na kusema kwa imma kwamba chanjo ni hiyari?
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
12,575
2,000
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.

Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.

Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
Babu nina chanjo ya polio mbona hicho cheti hamkunipa kwa mujibu wa sheria? Nendeni mkaichanje hiyo sheria kwanza
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
8,257
2,000
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.

Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.

Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
Wewe mkuu ni umbwa kama umbwa zingine!
 
malantu

Senior Member
May 26, 2021
138
250
Nineshaweka evidence za kutosha kuonesha hii kitu na ndui ni ujinga kuvilinganisha. Pitia mabandiko yangu utaona. Na evidence ninazoleta ni za waliozitengeneza. Kama unadhani unajua kuliko watengenezaji basi hamna shaka kachanje.

Sina tatizo na mtu kuamua kuchanja. Ni hiyari yake na ni mwili wake. Nina tatizo kubwa na walazimishaji kama mtoa mada.
Ati kulinganisha na ndui ni ujinga? Google "smallpox vaccine resistance'uone evidence kama hazipo. Kwa taarifa yako dunia ilipata taabu kuadminiser chanjo hizo kama ilivyo kwa Corona. So, hakuna kipya. Tofauti tu ni kuwa hakukuwa na mitandao ya kukufikishia wewe taarifa kama ilivyo leo.
 
Bukali

JF-Expert Member
May 7, 2018
1,015
2,000
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.

Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.

Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
Kwa hiyo,wewe unaakili sana kuliko aliyetengeneza hizo chanjo,yeye anasema ni hiari.
 
Bukali

JF-Expert Member
May 7, 2018
1,015
2,000
Mh. Mbowe aliwaambia kwamba hili la Corona ondoeni kipengele cha HIARI ili kuhakikisha zoezi linakwenda inavyotakiwa na WHO - mkamshambulia kwa maneno ya kejeli - kiko wapi sasa.
Unatoaje hiari unaweka lazima wajati aliyetengeneza anasema ni hiari.
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
6,424
2,000
Duh......hatari....... halafu watu bila kutumia akili wanatafuta vifungu vya sheria kulazimisha watu wachanjwe?

Public Health Act, 2009 section 24...........doesn't mention anywhere throughout ist clauses that vaccination is mandatory to all public sevants and general citizens as a whole.
Kwani weye mjukuu gwaji?
pumbavu kamtishe mama yako
Kitisho ulichokiona ni kipi hapo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom