#COVID19 Matumizi ya sheria yatasaidia kuhakikisha Watanzania wote wanaostahili kuchanjwa chanjo ya COVID – 19 wanachanjwa kwa wakati, hakuna kubembelezana

Teleskopu

JF-Expert Member
May 5, 2017
681
1,000
Hahaha, hao ni wapinga chanjo kama wewe ndugu. Hakuna kitu kama hicho. Hiyo conspiracy haina tofauti na ile ya Gwajima ya kugeuka Zombie na kutoa chaji za umeme.
mkuu, VAERS nao ni wapinga chanjo?

Screen Shot 2021-09-30 at 5.14.50 PM.png

SOURCE: Welcome
 
Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,158
2,000
Hahaha, hao ni wapinga chanjo kama wewe ndugu. Hakuna kitu kama hicho. Hiyo conspiracy haina tofauti na ile ya Gwajima ya kugeuka Zombie na kutoa chaji za umeme.
Umeona series ya Project Veritas? Wale huwa wanaingia sehemu wanaweka kamera na kurekodi mambo ya sirini huko watu wanaropoka wengine hawajui.

Unajua walichovumbua? Nenda kaangalie uone waandishi wa habari za uchunguzi halisi. Achana na propaganda zisizo na msingi.

Watu wanakufa serikali hazitaki waseme.
 
Teleskopu

JF-Expert Member
May 5, 2017
681
1,000
Umeona series ya Project Veritas? Wale huwa wanaingia sehemu wanaweka kamera na kurekodi mambo ya sirini huko watu wanaropoka wengine hawajui.

Unajua walichovumbua? Nenda kaangalie uone waandishi wa habari za uchunguzi halisi. Achana na propaganda zisizo na msingi.

Watu wanakufa serikali hazitaki waseme.
Umati wa watu haujui kinachoendelea. Inasikitisha sana. Tunajaribu kuwasaidia waone lakini ni vigumu kwelikweli.
 
Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,158
2,000
Umati wa watu haujui kinachoendelea. Inasikitisha sana. Tunajaribu kuwasaidia waone lakini ni vigumu kwelikweli.
Wlishameza propaganda. Hata ukisemaje wengi hawataki kuona, wanafumba macho. Wanapingana mpaka na watengenezaji na mpaka FDA. CDC na Fauci walishawaharibu fikra. Mungu awasaidie!
 
Teleskopu

JF-Expert Member
May 5, 2017
681
1,000
Wlishameza propaganda. Hata ukisemaje wengi hawataki kuona, wanafumba macho. Wanapingana mpaka na watengenezaji na mpaka FDA. CDC na Fauci walishawaharibu fikra. Mungu awasaidie!
Ni kweli kabisa. Juzi nilimsikia mzee mmoja Iringa walikosema wamechanja asilimia 70 (of course ya dozi 7000), yaani alitoa povu si mchezo kwa sababu eti watu wengine wanapinga chanjo wakati wataalamu wamesema iko salama. Nikasema, Ee Mungu wa mbinguni. Saidia watu wako
 
Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,158
2,000
Ni kweli kabisa. Juzi nilimsikia mzee mmoja Iringa walikosema wamechanja asilimia 70 (of course ya dozi 7000), yaani alitoa povu si mchezo kwa sababu eti watu wengine wanapinga chanjo wakati wataalamu wamesema iko salama. Nikasema, Ee Mungu wa mbinguni. Saidia watu wako
 
Lucky Star

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
1,510
2,000
Hivi wewe, nikuulize kwanza, una akili sawa sawa?!

Yaani uwalazimishe watu kuchanjwa kwa tatizo ambalo wao hawalioni na ni la kusadikika?!

Utata mwingi umejaa juu tu ya report ya uwepo wa hayo maradhi na madhara yake.
Sasa hivi watu wakifa tunaambiwa ni COVID-19, so magonjwa mengine kama kisukari, ukimwi, maralia, presha, ajali, kipindupindu, pumu, magonjwa ya figo, TB na mengineyo hatarishi yamekwenda wapi au yameacha kuua?!

Nyie msitufanye sisi ni watoto.

Wewe na wapuuzi wenzako kama mnajua sana sheria andae document ya kusaini kila mtu atakae chomwa chanjo kuwa kama kutatokea madhara ya kiafya yatayosababishwa na muingiliano wa hiyo chanjo na damu then serikali itatoa fidia ya papo kwa papo bila kunigotiate Chochote na kama ittashindwa ikubali kushitakiwa mahakama ya kimataifa.

Msituletee ufala hapa. Chomeni ninyi na familia zenu. Kama ni madhara kila mtu abakie na yake, ninyi mliochoma mnawasiwasi gani na mshachoma kinga why mnaogopa maambukizi.

Yaani mtu una blaketi unaogopa baridi?!
Tusilazimishane vitu vya kipuuzi. Kila mtu aamue kwa hiyari yake kuchanja au kutochanja.

Anayechanja amekubaliana na madhara yanayoweza kusababishwa na chanjo.
Asiyechanja ameridhika na hali ya kujilinda kila wakati na kuwa tayari kukabiliana na athari kama zitajitokeza.
Screenshot_20210601-192702~3.jpg
 
Magembe sociable

JF-Expert Member
Jul 10, 2021
213
500
Huyu mbona haelewi,matibabu Ni hiyari ya mgonjwa.sisi hatuchanjwi kwani hakuna lolote juu ya ubora na uimara wa chanjo.
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
3,993
2,000
Acha ushamba ww umemsikia nick Minaj alichokisema kuhusu chanjo .
Kwa hiyo wewe unamuamini huyo mvuta bange na anayejidunga masindano kila siku ili kuongeza matako yake kuliko wataalamu wa Afya?
 
chardams

JF-Expert Member
May 1, 2012
2,439
2,000
Baada ya kuchanjwa mnaanza kusikia shoti za umeme mwilini, wengine wamekufa wengine hoi ICU mnatamani kila mtu akachanjwe. Machanjo yenyewe mliyochanjwa batch yake haitambuliki ulimwenguni na tuliwaambia mkawa wabishi. Ngoja tuendelee kuwaangalia chanjo zitawaathiri vipi.. Ila mimi hata uje na AK47 hunichanji labda niwe hoi sina fahamu.
Hivi juzi tu UK wamesema mtu yeyote alie chanjwa Africa ana chulukiwa kama hajachanjwa akifika huko.
 
Nnangale

JF-Expert Member
Jul 20, 2013
2,288
2,000
Wasomi nchi hii ni vichekesho tupu,kamekalili Sheria kanaona Sheria ikiapply Kila mahali,kimsingi wasomi nchi hii ni mzigo usofaida.
 
Nnangale

JF-Expert Member
Jul 20, 2013
2,288
2,000
Emergence kwenye afya haitafsiriwe kama hali ya hatari inayohitaji tamko rais. Tafsiri ya emergence kwa afya dharula tu ya kawaida hivyo utekelezaji wa sheria hii hauhitaji matamko. Kaeni tayari kwa kutekeleza wajibu wenu kisheria kuchanjwa
Tutaona.
 
AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
2,032
2,000
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.

Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.

Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
Rubbish
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
18,339
2,000
Kwa mujibu wa sheria ya afya jamii ya mwaka 2009 (Public Health Act, 2009) kifungu cha 24, imeeleza kuwa ni lazima kuchanjwa wala sio hiari.

Na kila aliyechanjwa anapaswa kuwa na kadi/cheti. Vilevile, kifungu hicho cha 24 (2) kinatoa adhabu ya shilingi laki moja au kifungo cha miezi mitatu au vyote kwa pamoja kwa yeyote atakayekaidi.

Hakuna haja ya kubembelezana wakati sheria iko wazi.
Afya ni yangu, nchi ni yangu sipangiwi namna ya kuishi

Shut up!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom