Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,602
Bunge sio Mungu. Ni kusanyiko la wanasiasa fulani tu hivi mia kadhaa. Hawana mamlaka ya kuamua juu ya mwili wa mtu ambao hawakushiriki kuutengeneza, hawakuhangaika kumkuza. Unajua gharama ya kulea mtoto mpaka kuwa mtu mzima wewe au unajiongelesha tu? Yaani nilee mwanangu kwa jasho, machozi na damu yangu halafu kirahisi tu serikali impangie vitu ambavyo ni ujinga ujinga nikubali?Ni sheria iliyotungwa na bunge
kata kushoto, potea hivi! Jinga kabisa wewe!