Matumizi ya Serikali za Kiafrika yapunguzwe

arifmogul

Senior Member
Jan 3, 2022
100
221
Serikali zetu zinakusanya mapato mengi tu
Pamoja na mikopo na misaada kutoka kwa wahisani.

Mi naona zivunjwe idara kadhaa ili kupunguza matumizi ya serikali kwa sababu naona wote kazi zao zinaingiliana.

Mfano kwenye mkoa mmoja let's say wenye wilaya 4 kuna;

1. Mkuu wa Mkoa +Staff wa chini, magari, n.k

2. Katibu tawala wa Mkoa + Staff, magari n.k

3. Mkuu wa Wilaya x4 +Staff wa chini

4. Katibu Tawala wa wilaya x4 +Staff wa chini

Kwa hesabu za kawaida tu hapa nadhani mishahara ya hao viongozi tu bila ya staff wao kwa nchi nzima ni ~3 Billion TSh kwa mwezi 1.

Let's say tena ofisi moja ina staff 10
Kwa kima cha chini akilipwa 700k kwa mwezi
Mishahara ya staff itakua ~300mil
Hapa tu ni mfano kwa ofisi za utawala, hujakwenda kwa polisi, magereza, uhamiaji, idara za serikali:-maji, Umeme n.k

Ikipunguza hizi idara usimamizi ukawa mzuri serikali za Kiafrika zitakua ,zimepunguza matumizi kwa kiasi kikubwa na zitapata fedha za kutosha kutekeleza miradi mbalimbali kuondokana na mzigo wa mishahara.

Waimarishe sekta binafsi mazingira yawe bora ili ajira ziongezeke kwenye sekta binafsi
 
Hajazaliwa kiongozi wa hivyo. Magu mwenyewe aliendeleza wimbi la kuongeza vijiji,wilaya, mikoa nk.
Eti huwa wanasema wanasogeza maendeleo kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom