OD inatakiwa kuwa on(button pressed) katika hali ya kawaida ila ukihitaji ku-cruise power zaidi ndo unadisengage..normaly the dashboard indicator should be offKwa kawaida magari yanatumia gear nne, overdrive inaweza kuwa ya 5, au kwa magari mengine 6. Overdrive ikiwa off ina maana kuwa gari litakwenda kwa kutumia gear 4 tu. Overdrive inatumika mara nyingi ukiwa kwenye mwendo mkali kwa mfano kwenye highways. Ukiwa mjini mara nyingi mtu unatumia mpaka gear ya 4 tu. Hakikisha ukiwa kwenye highway, button ya overdrive iwe 'on'.
Hello GREAT THINKERS!
Nimekutana na huu ubishani kuwa ni wakati gani Over drive facility inatumika katika gari? Je ikiwa off inaonekana vipi kwenye dashboard? Thanks
OD inatakiwa kuwa on(button pressed) katika hali ya kawaida ila ukihitaji ku-cruise power zaidi ndo unadisengage..normaly the dashboard indicator should be off
Magari mengi ya automatic gear from 2000 hayana hii kitu........ni old technology
Overdrive is a term used to describe a mechanism that allows an automobile to cruise at sustained speed with reduced engine speed, leading to better fuel consumption, lower noise and lower wear. Use of the term is confused, as it is applied to several different, but related, meanings.
The most fundamental meaning is that of an overall gear ratio between engine and wheels, such that the car is now over-geared and can no longer reach its potential top speed, i.e. the car could travel faster if it were in a lower gear, with the engine turning more quickly. The purpose of such a gear may not be immediately obvious. The power produced by an engine increases with the engine's speed to a maximum, then falls away. .
....confusing!
Ndivyo sivyo, yaani nje ndani, yaani upside down, yaani mawazo yako yageuze yawe kinyume na hiyo ndokawaida. Kama huwa unafanya hivyo basi unatakiwa ufanye the other way round.....confusing!
Hello GREAT THINKERS!
Nimekutana na huu ubishani kuwa ni wakati gani Over drive facility inatumika katika gari? Je ikiwa off inaonekana vipi kwenye dashboard? Thanks
wende angalia maelezo haya ya wikipedia aliyotoa Camaradiere japo mimi nilieleza kwa kifupi
Jamani mi sijaelewa, hizi gari tunaagiza tu na kuzitupa barabani!! OD mnayomaanisha ni ipi kwa gari auto?? ni ile namba mbili chini ya D ama ni ile L???
Msinihukumu wadau sijawaelewa. Nakimbizana na kumalizia ripoti ya bodi hapa!! So nahitaji maelezo mepesi ili ni comprehend kirahisi!!
Mkuu na wewe unaendesha auto? kwani wewe ni mlemavu? Gari manual bana.....
Ni hakika Dingi unenavyo, na kwa namna hiyo hiyo pia unaweza kubadili gia kwenda ndogo kwa kuachia pedeli ya mafuta kila kipimo cha mwendo kinapofikia mafunda ya 20, mfano ikifika 20km/hr ukiachia pedeli ghafla (kick up) itaingia namba 2, ikifika 40km/hr ukaachia pedeli ghafla itaingia namba 3, ikifikia 60km/hr itaingia 4, na ikifikia 80km/hr itaingia namba 5, OD.