Matumizi ya Over Drive Kwenye Gari automatic | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi ya Over Drive Kwenye Gari automatic

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LAT, Apr 3, 2012.

 1. L

  LAT JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  wakuu

  ni nini hasa matumizi ya Over Drive kwenye gari yenye automatic gear (transmition), je hutumika wakati gani haswa yaani ni wakati gani na speed gani inatakiwa iwe on au off ..... what are the pros and cons

  ahsanteni
   
 2. kimbangu

  kimbangu Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 25
  Kama umewahi endesha gari ambayo ni manual na unajua how to range the gears in accordance to the speed thn od haitakusumbua,firstly inatumika kufanya delayal ya gear shift from 1 to 4 that gari iaccelerate na kuchanganya fasta,na ukiwa on overdrive gear no 5 haiwez ingia na transmission za gear zitaishia nne mpaka uizime ndi 5 itaingia,kama gari yako ni six or 8 cylinder waweza iacha to the maximum speed of 120km/hr thn ukaizima kama u want to speed up more maana ukiiacha then ukaspeed up more for a long tym waweza ua engine,4 4 clndrs u can make t up 2 100-110km/hr,pia inatumika kufanya gari iwe nzito if u want to decelerate suddenly when u r in a high speed as inashift gear from 5 to 4 then ndo unashika break kama umeendesha manual then u wil b in a good position to get wat I mean,that's ol I can contribte
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Kimbunga

  thanks ....hivyo basi OD inafaa zaidi kwenye long distance drive? na je ina effect yeyote kwenye fuel consumption?
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  inapokuwa ON(taa haiwaki ktk dashboard)hutumia mafuta kidogo .na unapoiweka OFF(taa ktk dashboard huwaka) hapo hutumia mafuta mengi kwani engine huongeza nguvu na rpm na spidi
   
 5. Nding'oli

  Nding'oli Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa mwanzisha thread hii, imekuwa ya manufaa sana kwangu kwani swala la OD katika gari ya automatic lilikuwa linanisumbua sana. Sikujua kuwa nikiliweka kwa great thinkers litapata ufumbuzi. Thank you so much.
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu

  always JF give the way forward
   
 7. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Hapa nimeelewa sana, Lakini kama maelezo yamekaa kinyume nyume. That is Overdrive ni wakati taa inawaka kwenye dash board (maandisho 0D off) au ni wakati hakuna indikation yoyote. maelezo yako mazuri lakini yanatakiwa yazingatie hili pia
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  you are right ... there is a confusion somewhere on when should overdrive supposed to be

  ukiangalia gear lever ... button ya overdrive ikiwa chini basi OD ipo on na button ikiwa juu basi OD is off na dashboard itawaka taa ya "overdrive off"

  hivyo basi kutokana na maelezo ya wadau nina assume kwamba normal use ya gari ni wakati OD ipo on .... yaani wakati taa ya overdrive haiwaki
   
 9. O

  One Man Army JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  thank you sana wakuu leo nimeendelea kuprove maisha bila jf kuna asilimia 5 unakuwa unapoteza..
   
 10. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Zingatia taa...ikiwaka it means inakuonya kuwa ipo OFF..yaani unacruise kwa nguvu kubwa mwisho gear nne na mafuta unameza.. isipowaka ndio position ya kawaida ya kuendeshea yaani ipo ON uankula mafuta kikawaida na gear shift inafika mpaka namba 5
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  great .... sasa basi ni wakati gani hasa inapaswa kuweka overdrive off .... pia inafaida gani kuweka OD OFF?
   
 12. M

  Mohamed Ngwasu JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 304
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ikiwa inaonesha kwenye db means off gea zinaishia 4 ikiwa haionekani on mkoba huo tembea unavyoweza usisahau kufunga mkanda na avoid D3
   
 13. M

  Mohamed Ngwasu JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 304
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama hauhitaji kuikimbia more than 80kph haiahitajiki.
   
 14. MANI

  MANI Platinum Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Inapendekezwa kama upo mjini iwe off kwa sababu huwezi kupita 80kph, na kwenye miteremko mikali kama sekenke,wami na kitonga ni vyema ukashuka na od ikiwa off. Vile vile kwenye sehemu korofi ie tope na mchanga. Faida inakuja kama uko kwenye safari ndefu maana utaipata gia ya tano na fuel consumption itapungua gari inakuwa nyepesi.
   
 15. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nina Escudo yani nikiweka OD inakuwa nzito na inakimbia na kuchanganya haraka huwa mpaka naogopa, nashindwa kuelewa mnaposema ukifika ukitaka kukimbia zaidi inabidi uitoe ukifikia speed fulani.
   
 16. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Useful post maana imekuwa na maelezo tofauti toka hata kwa mafundi
   
 17. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
 18. t

  trich2011.ef New Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mimi inanichanganya lakini naitumia kwenye vilima na inanisaidia kichizi.
   
 19. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  duh!mimi ni hr,sinà msààdà hapo
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,030
  Likes Received: 23,953
  Trophy Points: 280
  Dah! Hii thread imenichanganya kabisaaa!

  Kuna baadhi waliyoandika mi nilikuwa najua kinyume chake. Hebu ngoja niendelee kupata mauzoefu hapa kwa magriit thinkaz.
   
Loading...