Matumizi ya nguvu sio mazuri: BoT, Police following black market forex

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
10,007
Copy and paste
Sunday news ๐Ÿ‘‹๐Ÿฝ ya kuanzia siku ๐Ÿ˜‚
Serikali ya mahodari inaendelea kupaiza uchumi! Sasa kuna soko la magendo (haikuanza leo ilianza 2018 walipopora fedha na kufunga maduka ya fedha)
Sasa eti serikali inapambana na soko hili
Ila ukweli ni huu (numbers donโ€™t lie) ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

SASA
Manunuzi ya fedha za kigeni kupitia maduka ya fedha ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ $197.18 million
Mauzo ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ $86.98 million

Tukilinganisha December 31, 2018
Manunuzi ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ$722.9 million
Mauzo ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ $415.2 million

Si hamtaki soko huria na mnajua kila kitu?! Haya pambaneni ila kwa data hii ni dhahiri thamani ya shilingi katika soko huria siyo hii wanayotutangazia - watu hawataki shilingi wanasaka ๐Ÿ’ต๐Ÿ’ต ila si kwa bei ya kupangiwa! ๐Ÿ˜„ And thereโ€™s nothing you can do about it zaidi ya wengi wape ๐Ÿ‘‹๐Ÿฝ

Screenshot_20201220-094427_1608446985698.jpg
 
Hii serekali ya MATAPELI, wateka nyara, wanazidi kutapatapa tu. Wanajaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, inachekesha na kufurahisha sana.
 
Yes, tunazitaka na hizo za forex...

Alafu tutahamia western union tunazikomba, tukitoka hapo tunachungulia kwenye hizo Mpesa, EasyPesa, Halopesa, Airete money zeenu, mwenye nyingi tunakomba...





Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom