Matumizi ya Neo.."mkono mrefu"

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,216
78,162
hili neo huwa lina sehemu mbili ambazo huwa linatumika..lakini..likiwa na maana mbili tofauti....nzuri au mbaya ni kwamba tumefundishwa mashuleni...utata naupata kwenye hizi sentensi ...neno lenyewe ni "MKONO MREFU"

1. serikali ina "mkono mrefu"...

2.Juma ana "mkono mrefu"...

katika sentensi hizi unapata tafsiri mbili tofauti?
 
Mkono mrefu ina maana kama ifuatavyo,serikali ina mkono mrefu maana yake ni kwamba SERIKALI IPO KILA SEHEMU NA INAUWEZO WA KUMFIKIA YEYOTE YULE MAHALA POPOTE PALE, na hii ya Juma ana mkono mrefu ina maana 2 tofauti,kuna mkono mrefu ikimaanisha WIZI,na maofisini wanalitumia kumaanisha RUSHWA
 
kwanini mkuu usiseme juma anauwezo wakufika popote na serikali na wao iwe wizi na rushwa.
kwa hapo juu imekaaje mkulu..
 
Mzazi anamuita mwanae mbwa! Sasa kama mwana wa Mbwa huzaliwa na Mbwa jibu kamili Wote Mijibwa

Sasa kama Serikali ina Mkono Mrefu na Juma nae ana mkono Mrefu basi Wote Majizi
 
Back
Top Bottom