Matumizi ya neno ''Gone''

Nawaza tu:

She is gone - gone hapa ni sifa (kama vile she is tall, nk)

She has gone - gone hii ni tendo
 
Naomba tofauti ya sentensi hizi

1. She is gone.
2.She has gone.
1. She is gone ... Amefariki/ ametutoka/ hayuko tena nasi ...

"Gone" kama "past participle" ya "go" humaanisha pia "kufariki"

Ni kama kusema ... "she's no longer with us"

2. She has gone ... Amekwenda

"Gone" kama "past participle" ya "go" lamaanisha "kwenda" tendo la kutoka eneo moja kwenda jingine .... Tungo hii ya pili yaonesha tendo lililotendwa na kutimia ( timilifu ) katika wakati uliopo ( Present Perfect Tense )
 
Unachanganya sana Literal meaning na dictionary meaning bila kufahamu muuliza swali anakusudia nini.

Kwa nini usimuombe muuliza swali ajenge swali lake vyema? (Aeleweke)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom