Matumizi ya modemu vs gharama za vifurushi vya muda wa kuperuzi na maongezi

hengo

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
402
50
Jamani kutoka na hali ya uchumi kuzi kuwa ngumu, nafikiria namna ya kuchakachua modemu ili niweze kutumia mtendao wowote nitakaokuwa na uwezo nao kila makapuni ya simu yanavyobadilisha gharama za vifurushi.

Tafadhali wakuu nawaombeni mnielekeze namna ya kuzichakachua,nina AIRTEL na ZANTEL
 
KWA NINI UPATE SHIDA..........? NUNUA MODEM YA TTCL KISHA JIUNGE NA BANJUKA, utaacha hizo ndoto.
 
lete njia za kuchakachua maana hata mm ya voda ni mwisho hapa inakula fedha kama mchwa ma kukatisha tamaa kufanyia kazi
plz leta hizo mbinu mbadala
 
KWA NINI UPATE SHIDA..........? NUNUA MODEM YA TTCL KISHA JIUNGE NA BANJUKA, utaacha hizo ndoto.

Yeeeeeeees! Mwaka wa pili sasa sijuhi hizi lugha za bundle, mafurushi,nk TTCL Banjuka mwisho wa matatizo
 
Jamani hiyo ya TTCL ipo vipi gharama zake. Mie natumia airtel 400mb/2500 Tshs.

TTCL Mobile Broadband kifurushi cha Banjuka sh. 1000 kwa saa moja bila kikomo saa za kawaida na kuanzia saa tatu usiku sh. 500 kwa saa bila kikomo, speed ile ile hata kama ume-download 1GB kwa sh. 1000, kwa ufupi hadi senti ya mwisho speed ile ile uliyoanza nayo.

Zamani nilikuwa siamini kama unaweza kudownload movie kwa hali ya kipato changu, sasa hivi maktaba yangu ipo saaafi!
 
Kwangu mimi ni mwaka wa pili natumia soft ware ya JOIN air, hii unaweza kudownload tu, ila inakubali sana kwa moderm za voda na xp windows
 
Mabwana na mabibi nashukuru kwa ushauri wenu sasa nafikiria kutupa hizi MODEM za AIRTEL na ZANTEL,kabla sija fanya hivyo naomba mnijulishe bei ni shilingi ngapi kwa modem ya TTCL.

ASNTENI SANA KWA UJUMLA
 
bro modem za TTCL ni tsh 30000/= ukikuta zimekwisha ni-PM nitakuuzia hii yangu ninazo 2, ili tufurahie matunda ya uzalendo.
 
KWA NINI UPATE SHIDA..........? NUNUA MODEM YA TTCL KISHA JIUNGE NA BANJUKA, utaacha hizo ndoto.

kaka nijuze zaidi, ttcl bado cjaexperience huduma zao. Huduma gani hiyo. Assume nataka kudownload 10GB ndani ya lets say siku 3 kwa lowest amount of money, naweza?
 
wote mnapiga makelele ina hamjano konvisi bado.. Hapa mngeniambie kuwa wapi wanatoa internet unlimited kwa mwezi mmoja zaidi ya vodacom ningewaelewa. Hiyo banjuka ni unlimited?
 
TTCL Mobile Broadband kifurushi cha Banjuka sh. 1000 kwa saa moja bila kikomo saa za kawaida na kuanzia saa tatu usiku sh. 500 kwa saa bila kikomo, speed ile ile hata kama ume-download 1GB kwa sh. 1000, kwa ufupi hadi senti ya mwisho speed ile ile uliyoanza nayo.

Zamani nilikuwa siamini kama unaweza kudownload movie kwa hali ya kipato changu, sasa hivi maktaba yangu ipo saaafi!

Nafikiri kwa unlimited downloads hata zantel wana offer nzuri kuliko hii ya ttcl. Kwa shiling 10000 (elfu kumi), unaweza kutumia siku tatu kwa data size yeyote ile.
 
Nafikiri kwa unlimited downloads hata zantel wana offer nzuri kuliko hii ya ttcl. Kwa shiling 10000 (elfu kumi), unaweza kutumia siku tatu kwa data size yeyote ile.

You are right Bro ksbb hiyo banjuka yao ya 1000 kwa saa constant speed inaweza kuingia uhuni speed ikawa ndogo ukajikuta 1GB unaiteremsha kwa siku 2(masaa 48) sasa uki'compute hapo masaa ya 1000 na yale ya 500 unaweza ukajuta,ni afadhali Zantel unlimited ya 10,000 kwa siku 3 unaweza kujiachia kwa masaa 72 yote kwa "La 10" hilohilo.
Nilichogundua wengine humu ndani ni ma'agent wa hawa service provider acheni hizo shaurini ki haki.
 
Back
Top Bottom