Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,546
- 3,549
Ulitumia kwa mfumo upi mdada?? mbegu au unga ? kuna mwenzio nae ana same tatzoc ndo hapo sasa,ukizingatia haina madhara,na inasemekana huu mmea unatibu magonjwa mengi.Mimi nilishawishika coz aliye nicomvince alinambia inatibu imbalance homon,na inawezekana siku zaku kutokuwa sasa inasababishwa na hiyo.nikajaribu na nikaona ime work.sasa why nisishuhudie na wezangu wakajaribu