Matumizi ya maneno ya mkazo

mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
4,559
9,784
Hivi mwandishi ama mchangiaji wa mada anaweza kutumia 'inbuild feature" iliyopo hapa jukwani kuandika maandishi yake kwa ""bold text eg. ๐—ฃ๐—น๐—ฒ๐—ฎ๐˜€๐—ฒ ๐—ป๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐˜๐—ต๐—ฎ๐˜" ama "italic text eg. ๐‘ท๐’๐’†๐’‚๐’”๐’† ๐’๐’๐’•๐’† ๐’•๐’‰๐’‚๐’•" bila ya msaada wa C&P kutoka link zingine kama ๐’๐’Š๐’๐’ˆ๐’๐’‹๐’‚๐’Ž.๐’„๐’๐’Ž?

Pia kuna uwezekano wa "in-built features" zingine kama 'underlining, highlighting or coloured text" ili kumfanya mwandishi wa uzi aweze kuweka mkazo unaonekana kupitia maandishi yake.
 
Back
Top Bottom