Matumizi ya mafuta safari kutoka Dar es Salaam - Arusha

Kwa gari ya 1800cc yenye engine nzuri mie nilipiga dar to mbeya kwa 130,000 about 800KMs+! Full tank moja 90K kisha nikaijazia 40K nikiwa karibu kufika ila nilifanya hivyo sababu nilikuwa naingia ndani zaidi sikuishia Mbeya mjini, ila kwa full tank moja tu ningefika mjini! Plug zilikuwa mpya.

Kwa mtu anaetumia 150K kwa kilometre 600 namshangaa sana! Aidha plug mbovu au Engine za subaru sio economical maana kuna jamaangu ana runx X aliachiwa Subaru impreza na best yake ila katika kuitumia akagundua haina economy kama ya runX

Mie kwa Plugs mpya safari ya Moshi Dar kipindi kile mafuta ni 1800 nilitumia mafuta ya 50,000 tu kufika dsm!

Ushauri tu badili plugs kabla hujaanza safari ndefu kuepusha gharama za wese! Pia Top cover gasket kama inavujia kwenye combustion chamber inaua plug! So kagu nayo uizibe kama imeanza ku leak!
 
asante mkuu
 
Ukiwa na mguu mzuri unaweza tumia ata ya 80 tu.

Sijui nyie majamaa mnaendeshaje gari, lakini mi Tanga to Dar via Bagamoyo mara 3 nimetumia wese la 50 kwa kutumia BMW 325i ya cc 2500.

Am very light-footed.
Tanga Dar kuna kilomita ngapi jamaa ?
 
Kwa gari ya cc2500 itakuwa ulicontrol sana revs na hukuzidi 100km/hr i assume ili upate angalau 15km/ltr
Slow Accerelation, na kumaintain speed (natumia Cruise Control CC), sina mambio ya Subaru, minimum stops.
 
Rejea kichwa cha habari nataka kusafiri kutokea Dar es Salaam hadi Arusha kwa gari ya Subaru Impreza cc1490 je naweza kutumia lita ngapi za mafuta?

Nawasilisha
Mwanza-Mbeya to Chunya nilitumia laki na 80 gari Grand Vitara.
 
Mimi napita hii njia ya Dar - Arusha kila wiki mara mbili ila mimi natumia Alphard ya CC 2360 natumia mafuta ya 151000 one way hivi sasa mafuta yalivyopanda bei
Lakini hapo kabla nilikuwa natumia 130000-133000 one way
Kwa hiyo basi kwa gari yako wewe ya 1490cc 120000 max one way inatosha kutegemeana na uendeshaji wako pia Asante.
 
asante sanaa ina kwa bei ya sasa ivi arusha 2303 so ntatumia lita 60 ambayo ni 138000 ivi
 
Kwa gari ya 1800cc yenye engine nzuri mie nilipiga dar to mbeya kwa 130,000 about 800KMs+! Full tank moja 90K kisha nikaijazia 40K nikiwa karibu kufika ila nilifanya hivyo sababu nilikuwa naingia ndani zaidi sikuishia Mbeya mjini, ila kwa full tank moja tu ningefika mjini! Plug zilikuwa mpya.

Kwa mtu anaetumia 150K kwa kilometre 600 namshangaa sana! Aidha plug mbovu au Engine za subaru sio economical maana kuna jamaangu ana runx X aliachiwa Subaru impreza na best yake ila katika kuitumia akagundua haina economy kama ya runX

Mie kwa Plugs mpya safari ya Moshi Dar kipindi kile mafuta ni 1800 nilitumia mafuta ya 50,000 tu kufika dsm!

Ushauri tu badili plugs kabla hujaanza safari ndefu kuepusha gharama za wese! Pia Top cover gasket kama inavujia kwenye combustion chamber inaua plug! So kagu nayo uizibe kama imeanza ku leak!

bro ina maana umetumia lt 27 moshi to dar zaidi ya kilometer 540
 
Back
Top Bottom