james victor98
Member
- May 31, 2015
- 62
- 67
Rejea kichwa cha habari nataka kusafiri kutokea Dar es Salaam hadi Arusha kwa gari ya Subaru Impreza cc1490 je naweza kutumia lita ngapi za mafuta?
Nawasilisha
Nawasilisha
andaa kama laki na nusu
Kilometa ngapi? Uendeshaji wako upoje? Mi Mwanza nishawahi tumia 120,000/=
Kilometa ngapi? Uendeshaji wako upoje? Mi Mwanza nishawahi tumia 120,000/=
Kilometa ngapi? Uendeshaji wako upoje? Mi Mwanza nishawahi tumia 120,000/=
yeah man. Runx VVTi NZ-FE 1.5L.dar to mwanza?? ulitumia lt ngapi
Runx Boss, ya 1.5Lulitumia gari gani
Ukiwa na mguu mzuri unaweza tumia ata ya 80 tu.pana kama km 630
Ukiwa na mguu mzuri unaweza tumia ata ya 80 tu.
Sijui nyie majamaa mnaendeshaje gari, lakini mi Tanga to Dar via Bagamoyo mara 3 nimetumia wese la 50 kwa kutumia BMW 325i ya cc 2500.
Am very light-footed.
Kigezo ingekuwa umetumia lita ngapi na sii shs ngapi. Bei hubadilika.yeah man. Runx VVTi NZ-FE 1.5L.
Niliweka Kimara ya 50,000 nikaja kuweka tena Total Dodoma ya 50,000 nikaja nikaweka Mwanza nakaribia ya 20,000 ambayo nilipiga nayo misele hadi kesho.
Ila kurudi nilitumia kidogo gharama 180 kwasababu ya stops nyingi na nilikua nishavuka kama 1000km za service.
lita 60Rejea kichwa cha habari nataka kusafiri kutokea Dar es Salaam hadi Arusha kwa gari ya Subaru Impreza cc1490 je naweza kutumia lita ngapi za mafuta?
Nawasilisha
kama gari yako ina service na ukaendesha wastani wa km 70 na 90 kwa saa; utatumia wastani wa lita50 tu hiviRejea kichwa cha habari nataka kusafiri kutokea Dar es Salaam hadi Arusha kwa gari ya Subaru Impreza cc1490 je naweza kutumia lita ngapi za mafuta?
Nawasilisha
kama gari yako ina service na ukaendesha wastani wa km 70 na 90 kwa saa; utatumia wastani wa lita50 hadi 60 hivi
Elfu 5050ltrs au 50,000/=?
AyaKigezo ingekuwa umetumia lita ngapi na sii shs ngapi. Bei hubadilika.
Kwan spid humaliza mafut?asante