MADA: Fahamu kuhusu matumizi au ulaji wa mafuta kwenye gari aina ya Toyota harrier 3.0L (2990CC)

Mkuu muuza ubuyu hebu tupe mrejesho tena umevuka mwaka na kuingia 2019 na hiyo Harrier bado nzima na ulaji wa mafuta ni huo wa 10Km/litre?
Mkuu, harrier yangu bado ipo vizuri. Ninapoendesha kistaarabu (long safari) huwa natumia 8.5 mpaka 9km/Ltr . Town trip ni 6km/Ltr.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ile fuel economt computer ni accurate? Maana hua naona ina vary sana ime 3.5km/l, mara 4.4km/l 5.5km/l yani ndani ya muda mfupi ina change haraka sana
 
Sijuagi calculation za ulaji wa mafuta zina faida gani hapa nchini. Kama huna hela achana na magari muda wako bado. Kwea bodaboda tu si kosa
 
Hivi ile fuel economt computer ni accurate? Maana hua naona ina vary sana ime 3.5km/l, mara 4.4km/l 5.5km/l yani ndani ya muda mfupi ina change haraka sana
Naomba kuuliza pia wakuu na samahani kama natoka nje ya mada, kati ya Subaru foster ya mwaka 2003/4/5 au harrier ya mwaka 2003, au subaru impreza ya mwaka 2004, zot kwa bajeti nilionayo naweza pata je IPI nichukue, nkzngatia uimara, comfortability, na namna ya kutunza( services).
 
Naomba kuuliza pia wakuu na samahani kama natoka nje ya mada, kati ya Subaru foster ya mwaka 2003/4/5 au harrier ya mwaka 2003, au subaru impreza ya mwaka 2004, zot kwa bajeti nilionayo naweza pata je IPI nichukue, nkzngatia uimara, comfortability, na namna ya kutunza( services).
Mimi nimewahi kuendesha Subaru Legacy B4 ya 2006 kwa nilivyooendesha niliona ipo safi tu comfortability na fuel consumption average ni 7-8km/l niliendesha kwa wiki tu ila hizo zote zinatumia engine moja EJ20 kwaio vitu vitakua vinafanana harrier yenyewe ipo kwenye class tofauti hauwezi kuilinganisha na Subaru Forester/Impreza
 
hii mashine vipi ndugu zangu, rav 4 mwaka 2006
toyota rav 4 2006.PNG
 
Funga mfumo wa gesi pale DIT gesi ya 15,000/= Tshs. unatembea 200kms
Mkuu Joshua ok upo sahihi kwa Mji wa Dar lakini mimi wa Manyoni gas hiyo itakata tu nikivuka Morogoro kuelekea Msamvua.

lakini nikijaza Petrol ya 15,000/ nitapata lita 7 ambayo ni kama kilomita 80 Chalinze nitaongeza na kufika Manyoni.

Kwa sasa nimegundua Harrier New Model nyingi wameweka mashine ndogo ya Piston 4, hizi za 6 cyilinder wameziacha.

na hivyo kusababisha Harrier Old Model 3000cc kushuka hadi 5m
 
Ulaji mbovu wa mafuta ya gari unategemea na vitu vifuatavyo
1.uendeshaji wako kaka wewe ni mzee wa kukamua unaingia road unanza kwa kukanyagia lazima wese liende.

2.foleni za magari epuka kutembea kwny foleni sehemu ya dakika tano unatumia nusu saa aheri upaki gari utafute tz 11 uendelee hapo mafuta yanaenda km umewasha jiko la mchina.

3.oxygen sensor nzima kama mbovu lazima unywewe mafuta kama mademu wanavyokunyeea vyabe bulee.

4.plug mbovu feki usitegemee plug za buku 6 zikawa nzuri itakula kwako mazima nunua plug za ukweli huna hela park gari.

5.tafuta sweet speed yako kwny highway unatulia na kubarizii siyo ukamue 150 utegemee tank lisiwe na matobo walau izizidi 120.

6.usiache madirisha wazi kwny highway garibinakuwa nzito na wese linaenda jingi.

7.kama ni ya petroli mara mojamoja weka petrol treatment inasafisha njia za mafuta na kurahisisha uchomaji wa haraka.

8.epuka safari fupi fupi na sisizo na tija uokoe mafuta. Ukishindwa yote haya na unakuwa kinga'angaanizi basi usisumbue watu kwa maswali nenda baa tafuta mchemso saafi wa gari lako.
Petrol treatment ndio exillium au?
 
Back
Top Bottom