MADA: Fahamu kuhusu matumizi au ulaji wa mafuta kwenye gari aina ya Toyota harrier 3.0L (2990CC)

Natarajia kumiliki Toyota Kluger wenye uzoefu nayo njooni mnipe dondoo

#bamia_ndefunene
 
Kluger haitaki hela ya VICOBA bumper la nyuma la kluger inafika 168 USD (likiwa japan) bado kusafirisha na TRA.
Nina option mbili ya kuchukua moja wapo ipi yenye unafuu
2008-toyota-highlander-frontside_tthighyb081.jpeg
2010-toyota-rav4-base-concrete-1280.jpeg


#bamia_ndefunene
 
Mkuu, harrier yangu bado ipo vizuri. Ninapoendesha kistaarabu (long safari) huwa natumia 8.5 mpaka 9km/Ltr . Town trip ni 6km/Ltr.
Ni kweli Mkuu nimeingia Google nikakuta upo sahihi na hata hizi za piston 4 zitumiazo 2.4 hazijaachana zinakula 11km kwa lita moja
Currently showing specs for 2.4 G (A)
  • ENGINE
  • Engine Capacity
    2,362 cc
  • Engine Configuration
    4-cylinder in-line DOHC
    Compression Ratio
  • 9.6
  • Bore x Stroke
    (88.5 x 96.0) mm
  • Fuel Type
    Petrol
  • Power
    119kW (160 bhp)
  • Fuel Consumption
    11 km/l
  • Transmission
    4-speed (A)
  • Drive Type
    Front-wheel drive
Na hiyo ya SIX CYILINDER ni
Specifications
498.jpg

Make ToyotaFamily HarrierModel Variant Harrier 3.0Year November 2000 to currentNew Price 269.5 ten thousand YenBody Type SUVSeating Capacity 5Engine Code 1MZ-FEEngine Type Water cooled V6 DOHC 24 valveEngine Size 3.0 litres (2994 cc)Bore � stroke 87.5mm � 83mmCompression ratio 10.5:1Fuel systemMax power 162kW @ 5800rpmMax torque 304Nm @ 4400rpmForced Induction NoFuel Tank Capacity 75 litresFuel type Unleaded premium gasolineFuel Consumption 10.5 l/100km Transmission Super intelligent 4 speed automatic (SupercEct)Drive Layout FF
 
kama ni 3000cc hybrid chukua maana wese ni kama vits ila kama ni vvti kimbia, maana wese lake kwa mwaka unajenga apartent mbili unakula kodi yako ya 450000
Mkuu, unaposema hybrid na vvit utofauti upoje?
Kuna Vits hybrid nataka kuivutaa, sasa sijui tofauti na hizi vvti....

Je spare zinapatikana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,huu ni mtandao gani unaweza kupata spea parts na je kodi pale bandarini zinakuaje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom