bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,357
- 9,544
Labda ma traffic na tochi zao watakua likizoKamata Jeep Cherokee dar -mwz 5 hrs.
Labda ma traffic na tochi zao watakua likizoKamata Jeep Cherokee dar -mwz 5 hrs.
Ushauri wako mzuri,
Starlet inatumia lita moja kilomita 18 kwenye highway
lakini gari hii ina Horse power ndogo sana (75Hp)
Harrier inatumia lita moja kwa kilomita 10 hadi 12 lkn ina 220Hp
sasa hapo ni mfuko wako na aina ya matumizi,
Starlet unaweza pelekea watoto shule, Mama sokoni, saloon na vi-party safari ndefu utaweza lkn iwe zaidi lami na mwendo wa kawaida 60-80km/h
Harrier ni hadithi ingine inapasua popote na inachomoko si mchezo, hakikisha tank halikauki tu
Mie nimetembelea rough roads na kwny lami na kote naona iko stable na comfortableUshauri wako mzuri,
Ila harrier sio kama rav4, kumbuka kwamba rav4 ndio the strongest.
Inapasua especially kwenye rough roads na bado inakua imara vile vile.
Harrier ni gari nzuri sana pia, lakini ni more luxury, haihitaji mikiki-mikiki ya muda mreefu kwenye rough roads. Yenyewe utaipenda zaidi kwenye lami.
That's good.Mie nimetembelea rough roads na kwny lami na kote naona iko stable na comfortable
Prado ni gari ya kike, Harrier ndo kiumeni zaidi, kama vipi chukua mzigo wa Toyota FJ, kama huijui igoogle.Mkuu chukua PRADO petrol 2.7 utakuja kuniambia, hutaregret uwamuzi wako hata kidogo.
mmmh hapanaKamata Jeep Cherokee dar -mwz 5 hrs.
Watakuja mkuu, mie yangu ni first generation, 6 cylinder na ni vvti!Mwenyekiti ufahamu kuhusu hizi harrier new model za mwaka 205-208 je zote Hybrid au vvti?
Au zinatofautiana?
hatari sanaKuna swala moja ambalo naomba niongezee, watu huwa hawajui kuwa ukigandamiza mafuta zaidi ya 2000rpm katika gia za mwanzo 1 na 2 huwa wanapigwa bao sana! Hasa gari za auto ndio hunyonya sana hapo kwa watu wasio na nidhamu. Utakuta mtu kashuka kwenye bumps anabonyeza accelerator gari ina rev mpaka gia zikiingia unaskia gari inashtuka!
Achana kabisa na vi RAV 4 mara Kill time mara Rav 4 Massawe MAGARI7 injini za RAV zimeachwa mbali na Harrier pia suspension haina tofauti na Harrier kwenye mashimo na mawe.That's good.
Umeitumia kwa muda gani? Na ni muendaji wa njia hizo wa mara kwa mara??