Matumizi ya mafuta kwenye Toyota harrier 3.0L (2990CC)

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
9,136
Points
2,000

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
9,136 2,000
Mkuu muuza ubuyu hebu tupe mrejesho tena umevuka mwaka na kuingia 2019 na hiyo Harrier bado nzima na ulaji wa mafuta ni huo wa 10Km/litre?
Mkuu, harrier yangu bado ipo vizuri. Ninapoendesha kistaarabu (long safari) huwa natumia 8.5 mpaka 9km/Ltr . Town trip ni 6km/Ltr.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ile fuel economt computer ni accurate? Maana hua naona ina vary sana ime 3.5km/l, mara 4.4km/l 5.5km/l yani ndani ya muda mfupi ina change haraka sana
 
Latinus

New Member
Joined
Jul 31, 2019
Messages
1
Points
45

Latinus

New Member
Joined Jul 31, 2019
1 45
Hivi ile fuel economt computer ni accurate? Maana hua naona ina vary sana ime 3.5km/l, mara 4.4km/l 5.5km/l yani ndani ya muda mfupi ina change haraka sana
Naomba kuuliza pia wakuu na samahani kama natoka nje ya mada, kati ya Subaru foster ya mwaka 2003/4/5 au harrier ya mwaka 2003, au subaru impreza ya mwaka 2004, zot kwa bajeti nilionayo naweza pata je IPI nichukue, nkzngatia uimara, comfortability, na namna ya kutunza( services).
 
Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
9,136
Points
2,000

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
9,136 2,000
Naomba kuuliza pia wakuu na samahani kama natoka nje ya mada, kati ya Subaru foster ya mwaka 2003/4/5 au harrier ya mwaka 2003, au subaru impreza ya mwaka 2004, zot kwa bajeti nilionayo naweza pata je IPI nichukue, nkzngatia uimara, comfortability, na namna ya kutunza( services).
Mimi nimewahi kuendesha Subaru Legacy B4 ya 2006 kwa nilivyooendesha niliona ipo safi tu comfortability na fuel consumption average ni 7-8km/l niliendesha kwa wiki tu ila hizo zote zinatumia engine moja EJ20 kwaio vitu vitakua vinafanana harrier yenyewe ipo kwenye class tofauti hauwezi kuilinganisha na Subaru Forester/Impreza
 
Admin1988

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Messages
648
Points
500

Admin1988

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2017
648 500
Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu! Nilinunua gari hiyo harrier 3.0 na ninaenjoy mpaka sasa mwezi wa sita tangu nianze kuitumia. Napiga safari ndefu bila wasi wasi wowote na consumption yake si mbaya sana, 9.5km/L mpaka 11km/L. I am comfortable with it, yeyote mwenye ndoto ya kumiliki harrier wala asiogope comment za watu mara jini sijui a monster on using fuel! We cheki mfuko wako tu ili maisha yasonge!
Watu ambao huwa wana negative comments katika maisha mara nyingi ni wale wasio na uzoefu wowote na kitu wanacho comment (just imagine kuna mtu alisema inatumia hadi 5km/L, asa sijui imekuwa scania ya kubeba vifusi?).
They comment based on hear says! Ukitaka majibu sahihi ulizia watu wenye uzoefu na hicho kitu!
Na hatu nunui magari kwa kuogopa ulaji wa mafuta bali, COMFORTABILITY
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
10,279
Points
2,000

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
10,279 2,000
Funga mfumo wa gesi pale DIT gesi ya 15,000/= Tshs. unatembea 200kms
Mkuu Joshua ok upo sahihi kwa Mji wa Dar lkn mm wa Manyoni gas hiyo itakata tu nikivuka Morogoro kuelekea Msamvua
lakini nikijaza Petrol ya 15,000/ nitapata lita 7 ambayo ni kama kilomita 80 Chalinze nitaongeza na kufika Manyoni
Kwa sasa nimegundua Harrier New Model nyingi wameweka mashine ndogo ya Piston 4, hizi za 6 cyilinder wameziacha
na hivyo kusababisha Harrier Old Model 3000cc kushuka hadi 5m
 
joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
10,201
Points
2,000

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
10,201 2,000
Mkuu Joshua ok upo sahihi kwa Mji wa Dar lkn mm wa Manyoni gas hiyo itakata tu nikivuka Morogoro kuelekea Msamvua
lakini nikijaza Petrol ya 15,000/ nitapata lita 7 ambayo ni kama kilomita 80 Chalinze nitaongeza na kufika Manyoni
Kwa sasa nimegundua Harrier New Model nyingi wameweka mashine ndogo ya Piston 4, hizi za 6 cyilinder wameziacha
na hivyo kusababisha Harrier Old Model 3000cc kushuka hadi 5m
Umenifungua macho nilishangaa iweje Harrier old model bei chee vile kule befoward
 
Forum statistics

Threads 1,358,374
Members 519,276
Posts 33,166,416
Top