Matumizi ya mafuta kwenye Toyota harrier 3.0L (2990CC)

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
9,992
Points
2,000

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
9,992 2,000
Achana kabisa nai vi RAV 4 mara Kill time mara Rav 4 Massawe
MAGARI7 injini za RAV zimeachwa mbali na Harrier
pia suspension haina tofauti na Harrier kwenye mashimo na mawe
ndio maana bei zina tofauti hata km ni za miaka ya nyuma zunguka huko kwenye www.zoomtanzania.com utazikuta za 5milioni lkn sio Harrier
labda kwa toleo jipya la sasa hivi la RAV 4 wametuletea Vanguard ndio nitanyoosha mikono kuwa Harrier ni cha mtoto
Nataarifiwa hapa Vanguard ni joka la kibisa coz sio 4WD. Unalizungumziaje hilo Mwl. Kashasha?
 
muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
2,877
Points
2,000

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
2,877 2,000
Mkuu muuza ubuyu hebu tupe mrejesho tena umevuka mwaka na kuingia 2019 na hiyo Harrier bado nzima na ulaji wa mafuta ni huo wa 10Km/litre?
Mkuu, harrier yangu bado ipo vizuri. Ninapoendesha kistaarabu (long safari) huwa natumia 8.5 mpaka 9km/Ltr . Town trip ni 6km/Ltr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thebroker

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
521
Points
500

Thebroker

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
521 500
Town trip ni 6km/l. Highway ni 10km/l AC ikiwa imewashwa.
Sahihi kabisa-mimi natunia lexus Rx400 ambayo ilikua ni hybrid bahat mbaya generators zake zilikufa, kabla hazijafa nikikua naenda 14-16km kwa lita town trip highway ilikua inakula 16-18km kwa lita. Kwa sasa inakamua km 6-7km kwa lita town trip-highway 9-10km kwa lita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
10,185
Points
2,000

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
10,185 2,000
Mkuu, harrier yangu bado ipo vizuri. Ninapoendesha kistaarabu (long safari) huwa natumia 8.5 mpaka 9km/Ltr . Town trip ni 6km/Ltr.
Ni kweli Mkuu nimeingia Google nikakuta upo sahihi na hata hizi za piston 4 zitumiazo 2.4 hazijaachana zinakula 11km kwa lita moja
Currently showing specs for 2.4 G (A)
 • ENGINE
 • Engine Capacity
  2,362 cc
 • Engine Configuration
  4-cylinder in-line DOHC
  Compression Ratio
 • 9.6
 • Bore x Stroke
  (88.5 x 96.0) mm
 • Fuel Type
  Petrol
 • Power
  119kW (160 bhp)
 • Fuel Consumption
  11 km/l
 • Transmission
  4-speed (A)
 • Drive Type
  Front-wheel drive
Na hiyo ya SIX CYILINDER ni
Specifications

Make ToyotaFamily HarrierModel Variant Harrier 3.0Year November 2000 to currentNew Price 269.5 ten thousand YenBody Type SUVSeating Capacity 5Engine Code 1MZ-FEEngine Type Water cooled V6 DOHC 24 valveEngine Size 3.0 litres (2994 cc)Bore � stroke 87.5mm � 83mmCompression ratio 10.5:1Fuel systemMax power 162kW @ 5800rpmMax torque 304Nm @ 4400rpmForced Induction NoFuel Tank Capacity 75 litresFuel type Unleaded premium gasolineFuel Consumption 10.5 l/100km Transmission Super intelligent 4 speed automatic (SupercEct)Drive Layout FF
 
coscated

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Messages
2,498
Points
2,000

coscated

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2010
2,498 2,000

Unleaded premium, nikiweka petrol ya super vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
14,405
Points
2,000

General Mangi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
14,405 2,000
kama ni 3000cc hybrid chukua maana wese ni kama vits ila kama ni vvti kimbia, maana wese lake kwa mwaka unajenga apartent mbili unakula kodi yako ya 450000
Mkuu, unaposema hybrid na vvit utofauti upoje?
Kuna Vits hybrid nataka kuivutaa, sasa sijui tofauti na hizi vvti....

Je spare zinapatikana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,352,786
Members 518,197
Posts 33,067,089
Top