Matumizi ya mafuta kwenye Toyota harrier 3.0L (2990CC)

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
2,421
Points
2,000

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2016
2,421 2,000

Starlet inatumia lita moja kilomita 18 kwenye highway
lakini gari hii ina Horse power ndogo sana (75Hp)
Harrier inatumia lita moja kwa kilomita 10 hadi 12 lkn ina 220Hp
sasa hapo ni mfuko wako na aina ya matumizi,
Starlet unaweza pelekea watoto shule, Mama sokoni, saloon na vi-party safari ndefu utaweza lkn iwe zaidi lami na mwendo wa kawaida 60-80km/h
Harrier ni hadithi ingine inapasua popote na inachomoko si mchezo, hakikisha tank halikauki tu
Ushauri wako mzuri,

Ila harrier sio kama rav4, kumbuka kwamba rav4 ndio the strongest.

Inapasua especially kwenye rough roads na bado inakua imara vile vile.

Harrier ni gari nzuri sana pia, lakini ni more luxury, haihitaji mikiki-mikiki ya muda mreefu kwenye rough roads. Yenyewe utaipenda zaidi kwenye lami.
 
MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Messages
4,011
Points
2,000

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2011
4,011 2,000
Ushauri wako mzuri,

Ila harrier sio kama rav4, kumbuka kwamba rav4 ndio the strongest.

Inapasua especially kwenye rough roads na bado inakua imara vile vile.

Harrier ni gari nzuri sana pia, lakini ni more luxury, haihitaji mikiki-mikiki ya muda mreefu kwenye rough roads. Yenyewe utaipenda zaidi kwenye lami.
Mie nimetembelea rough roads na kwny lami na kote naona iko stable na comfortable
 
muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
2,877
Points
2,000

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
2,877 2,000
Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu! Nilinunua gari hiyo harrier 3.0 na ninaenjoy mpaka sasa mwezi wa sita tangu nianze kuitumia. Napiga safari ndefu bila wasi wasi wowote na consumption yake si mbaya sana, 9.5km/L mpaka 11km/L. I am comfortable with it, yeyote mwenye ndoto ya kumiliki harrier wala asiogope comment za watu mara jini sijui a monster on using fuel! We cheki mfuko wako tu ili maisha yasonge!
Watu ambao huwa wana negative comments katika maisha mara nyingi ni wale wasio na uzoefu wowote na kitu wanacho comment (just imagine kuna mtu alisema inatumia hadi 5km/L, asa sijui imekuwa scania ya kubeba vifusi?).
They comment based on hear says! Ukitaka majibu sahihi ulizia watu wenye uzoefu na hicho kitu!
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
7,949
Points
2,000

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
7,949 2,000
Mkuu binafsi naogopa sana magari ya NOAH yalivyo designiwa hayako safe hata kidogo, ndiyo maana pakitokea ajali ni watu wachache wanao pona - jaribu kufatilia takwimu za ajali zinazo involve magari ya NOAH ni mara chache watu kupona!!

Nisijue upande wa injini hukoje katika ulaji wa mafuta - lakini kama unataka kuitumia kwa ajili ya family basi kiusalama nisinge i-recommend hata kidogo - I might be wrong though.
Hofu yako haiko technical. Bali ni imani zaid. Magar aina ya noah ni mengi sana. Obvious lazima ajal ziwe nying zenye kuhusisha noah. Pia carrying capacity yake ni kunbwa so in case of accident lazima madhara yawe makubwa. Pia **** noah ambazo body yake iko poa sana zile town ace. Lakini hizi za kisasa yan hazieleweki bati si bati chuma si chuma fiber si fiber. Yani likibinuka tuuu, uyafikir ulikua kweny Toyo
 
mataka

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Messages
286
Points
225

mataka

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2011
286 225
Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu! Nilinunua gari hiyo harrier 3.0 na ninaenjoy mpaka sasa mwezi wa sita tangu nianze kuitumia. Napiga safari ndefu bila wasi wasi wowote na consumption yake si mbaya sana, 9.5km/L mpaka 11km/L. I am comfortable with it, yeyote mwenye ndoto ya kumiliki harrier wala asiogope comment za watu mara jini sijui a monster on using fuel! We cheki mfuko wako tu ili maisha yasonge!
Watu ambao huwa wana negative comments katika maisha mara nyingi ni wale wasio na uzoefu wowote na kitu wanacho comment (just imagine kuna mtu alisema inatumia hadi 5km/L, asa sijui imekuwa scania ya kubeba vifusi?).
They comment based on hear says! Ukitaka majibu sahihi ulizia watu wenye uzoefu na hicho kitu!
kaka we hiyo imelamba sh. ngapi? nami najichanga nataka kitu cha harrier

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ilonga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
981
Points
500

ilonga

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
981 500
Kuna swala moja ambalo naomba niongezee, watu huwa hawajui kuwa ukigandamiza mafuta zaidi ya 2000rpm katika gia za mwanzo 1 na 2 huwa wanapigwa bao sana! Hasa gari za auto ndio hunyonya sana hapo kwa watu wasio na nidhamu. Utakuta mtu kashuka kwenye bumps anabonyeza accelerator gari ina rev mpaka gia zikiingia unaskia gari inashtuka!
hatari sana
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
10,202
Points
2,000

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
10,202 2,000
That's good.
Umeitumia kwa muda gani? Na ni muendaji wa njia hizo wa mara kwa mara??
Achana kabisa nai vi RAV 4 mara Kill time mara Rav 4 Massawe
MAGARI7 injini za RAV zimeachwa mbali na Harrier
pia suspension haina tofauti na Harrier kwenye mashimo na mawe
ndio maana bei zina tofauti hata km ni za miaka ya nyuma zunguka huko kwenye www.zoomtanzania.com utazikuta za 5milioni lkn sio Harrier
labda kwa toleo jipya la sasa hivi la RAV 4 wametuletea Vanguard ndio nitanyoosha mikono kuwa Harrier ni cha mtoto
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
10,202
Points
2,000

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
10,202 2,000
Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu! Nilinunua gari hiyo harrier 3.0 na ninaenjoy mpaka sasa mwezi wa sita tangu nianze kuitumia. Napiga safari ndefu bila wasi wasi wowote na consumption yake si mbaya sana, 9.5km/L mpaka 11km/L. I am comfortable with it, yeyote mwenye ndoto ya kumiliki harrier wala asiogope comment za watu mara jini sijui a monster on using fuel! We cheki mfuko wako tu ili maisha yasonge!
Watu ambao huwa wana negative comments katika maisha mara nyingi ni wale wasio na uzoefu wowote na kitu wanacho comment (just imagine kuna mtu alisema inatumia hadi 5km/L, asa sijui imekuwa scania ya kubeba vifusi?).
They comment based on hear says! Ukitaka majibu sahihi ulizia watu wenye uzoefu na hicho kitu!
Mkuu muuza ubuyu hebu tupe mrejesho tena umevuka mwaka na kuingia 2019 na hiyo Harrier bado nzima na ulaji wa mafuta ni huo wa 10Km/litre?
 
Forum statistics

Threads 1,353,792
Members 518,372
Posts 33,081,615
Top