Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,029
- 173,693
delusions,
Kuna swala moja ambalo naomba niongezee, watu huwa hawajui kuwa ukigandamiza mafuta zaidi ya 2000rpm katika gia za mwanzo 1 na 2 huwa wanapigwa bao sana!
Hasa gari za auto ndio hunyonya sana hapo kwa watu wasio na nidhamu. Utakuta mtu kashuka kwenye bumps anabonyeza accelerator gari ina rev mpaka gia zikiingia unaskia gari inashtuka!